irene kawili
Member
- Feb 23, 2014
- 10
- 0
Habari zenu wadau?
Kwanza poleni na majukumu.
Mimi ni mhitimu toka UDSM tangu mwaka 2013, nina degree ya uhasibu (BCOM in Accounting).
Nina ujuzi na uzoefu katika kazi zifuatazo:
-preparation of sales invoices and delivery notes
-preparation of VAT returns
-making bank reconciliation
-debt management skills: proper recording,followup
-recording receipts and payments (posting to Tally
-computer application skills: Microsoft office word, excel, PowerPoint
Nipo tayari kufanya kazi ktk kampuni yoyote na mahali popote nchini .
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakayenisaidia kupata ajira.
namba zangu ni :0713/0784-419775