Recent content by iqnq

  1. I

    Tunaomba matuta barabara ya Saigoni Kigoma

    Niaje wakuu, mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, kuna hii barabara mpya ya lami ambayo inapita katika mtaa wa Saigoni Kigoma mjini, naomba mamlaka husika zifanyie kazi suala la kuweka matuta katika hii barabara mpya kwa sababu magari na pikipiki zinashuka kwa kasi sana. Tuna watoto zetu na wake zetu...
  2. I

    Naomba ufafanuzi wa kazi za weighbridge operator

    Nashukuru kwa ufafanuzi
  3. I

    Naomba ufafanuzi wa kazi za weighbridge operator

    Niaje wadau, naomba mwenye uzoefu na kazi za weighbridge operator anijulishe namna kazi hizi zinavyofanya. Kuanzia shift, mikataba na changamoto.
  4. I

    Mamlaka ya maji Kigoma Ujiji ina matatizo haya...

    Kutokana na kupata adha ya kukosa maji mara kwa mara tena kwa kipindi kirefu, mimi kama mwananchi mkereketwa nikaamua kufanya uchunguzi kujua nini kiini cha tatizo katika mamlaka ya maji Kigoma Ujiji. Katika ofisi ya Wizara ya maji ingeundwa tume maalum ya uchunguzi kuhusu madai haya:- Mamlaka...
Back
Top Bottom