mzeee jaribu kutumia akili kidogo katika kutafriri mambo ulitaka mzee afiche ukweli wakati mambo yanajidhihirisha ukweli taifa limerudi nyuma sana na ni haki ya magufuli kuwaweka wazi watanzania "openess"and "accountability " is what we need and are the best character of a good leader
umeona hee mijitu ya ukawa inamtetea me nashangaa watu wanafikiri mabadiliko ni kuikomoa ccm ila wanashindwa jua wanatakiwa angalia ufanisi kwa baadhi ya viongozi...yani chaguzi hizi zimegubikwa na ushabiki hata watu wasio na uelewa na siasa wanaparamia tu
ongea vyote lakini ukweli unahuma mnaona kabisa mgombea wenu hayupo compitent hata katika kujibu hoja nyepesi we kama una usingizi lala..maana me napata tabu kubishana na watu wenye mawazo mgando kama yako...kwanza umesoma ww maana naona hoja zako za chooni..au ndio wale ndumi la kuwili wa...
Hauna hoja nenda ukalale najua mmemsikia dhahiri Mwizi wenu hamna cha kumtetea na watanzania wanazidi ona mashudu anayoyafanya kwa hyo ww nuna pasuka ukweli ndio huo
Nimefuatilia sana maswali aliyoulizwa na jinsi alivyokua akiyumba yumba katika kujibu ukweli ni kwamba lowassa hana sifa na vigezo vya kua raisi wa nchi kwa sababu kwanza anashindwa kua muwazi (openess) which is very important as a quality of a good leader..pili lowassa huyuhuyu anaulizwa kwenye...
unawaita waliobaki ccm wanafiki hivi umesahau maneno ya kina lissu...mnyika...msigwa..mbowe mwenyewe na halima mdee juu ya mgombea wa ukawa lowasa ambae ni miongoni mwa mafisadi na chadema walimtangaza tanzania nzima leo wanamsafisha na kuficha maovu na wao tuwaitaje...
Ni zaidi ya wanafiki...
Usimseme mwenzako ana akili ndogo zako je umezipima katoa ushauri wake na katoa jambo ambalo ni sahihi kabisa hakuna uongo aliouweka ameeleza kitu kilichotokea kama mtu akieleaza ukweli ana akili ndogo..basi wewe unayechambua mambo una akili ndogo kuliko
Ccm oyeee hapa kazi tuuu huyo aliepost asijidai ana akili sana kumzidi nyerere na kingereza chake cha chooni #hapakazitu. ...nahisi umeamka hata mswaki haujapiga umeanza kukurupuka fungua kinywa kwanza mzeee
wewe nafikiri sijui elimu yako ni ya darasa la saba maana hoja zako ni za chooni haya hata na elimu kwenye maswala ya kisiasa hauna unakurupuka kaa chini ufunzwe na wanaojua siasa na watakuonesha alama za nyakati zinaenda vipi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.