Recent content by ipy

  1. ipy

    Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

    Acha majungu!! Mtufundishage sasa sio kutusimanga hivyo lol!!!
  2. ipy

    Mwanamke kulia njaa kajitakia.

    Ngoja aje akujibu, asipokutukana shukuru maana ye anamwaga matusi tu.
  3. ipy

    Mwanamke kulia njaa kajitakia.

    Akiachwa kuna siku atatamani vingine zaidi alafu iwe balaaa!!
  4. ipy

    Wanaume suruali utawajua kipindi iki cha sikukuu

    Hahahaaa!! Usinifananishe ndio mie mpenzi.
  5. ipy

    Wanaume suruali utawajua kipindi iki cha sikukuu

    Likija suala la pesa huwa wanaushirikiano hakuna mfano, njoo kwenye kuosha vyombo wanavyotoka mbio!! Huu ushirikiano udumu kote sio kwenye pesa tu. Na Mangu alivyobana ndio kabisaa watu wanakaribia kumeza server za jf. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. ipy

    Wanaume suruali utawajua kipindi iki cha sikukuu

    Kwanini nijifiche!!!
  7. ipy

    Wanaume suruali utawajua kipindi iki cha sikukuu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wacha we!!! Mkisikia pesa mnakuwa wakaliiii!! Acheni uchoyo.
  8. ipy

    Mashemeji zangu mambo vipi? Ebu pitieni hapa kidogo Ili twende sawa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona moyo wa kupondeka!! Masikini, ameamua kuisucrifice furaha yake kwaajili ya mwanaume. Kweli maisha ni kuchagua.
  9. ipy

    WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

    Ooooh!! Basi sawa.
  10. ipy

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Oooh kumbe yo smart!! Good boy.
  11. ipy

    Mashemeji zangu mambo vipi? Ebu pitieni hapa kidogo Ili twende sawa

    Hahahaaaa!!! Mtu wa hivyo hata khanga hamnunulii mkewe.
  12. ipy

    Mashemeji zangu mambo vipi? Ebu pitieni hapa kidogo Ili twende sawa

    Watu na mioyo yao ya uuguzi, hiyo nayo ni ndoa!! Kaazi kweli kweli!
  13. ipy

    Mwanamke kulia njaa kajitakia.

    Hatuwezi kupita hivi maana hili linatuhusu wote, maana tukikuacha utakuja kutuharibia watoto wetu.
Back
Top Bottom