Recent content by ipo siku utakufa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ndugai kaamsha maswali mengi kuliko majibu. Ina maana katumwa na Ikulu?

    dhaifu ni wewe na upumbavu wako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Natamani sana CAG ajaye awe anahudhuria mikutano ya Rais popote pale

    Awali ya yote naomba niwapongeze CDF,IGP,Mkuu wa usalama,Spika wa Bunge,Jaji mkuu kwakuwa wazalendo sababu kila hafla ya Mheshimiwa rais iwe ikulu au sehemu yeyote ile wanahudhuria hata iwe mkoani viongozi hawa huacha shughuli zao na kuhudhuria kwahili hatuna budi kuwapongeza. binafsi natamani...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    Sasa mbona kipindi anateuliwa kuwa DG media zote za ndani na nje zilichapisha habari na kubandika picha zake sasa hao maadui unaowasema wanashindwa kwenda google na kupata picha ya huyo Kipilimba na pia siku anaapishwa tukio si ilichukukuwa live na video zipo youtube. Kiongozi mkuu wa idara...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tukio la leo limenipa Hofu kubwa sana!

    Endeleeni kujifanya mnajuwa kuropoka hata ngiri hujiona safe ndani ya burrow lkn mara nyingi hudakwa na chui.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo na ndoa ya wake wanne - hii kitaalam imekaaje Mwalimu Kashasha?

    Sababu ana nguvu za kiume
  6. I

    JamiiForums Tanzania Maoni yetu Maamuzi ya Serikali Kuhusu Zao la Korosho - Zitto Kabwe

    Zitto katumwa na wahindi kutuchonganisha na raisi Wakulima wanyonge wameshapata mtetezi na rais ataongea na marais wa china na nchi zingine na soko litapatikana kwa urahusi na kwa bei ya juu ..
  7. I

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna akina BABA,akina BABA waliisha kitambo sana

    Zamani Baba alikuwa na majina A.k.A mengi kama 1.Gaidi 2.Dingi 3.mzee mkaksi 4.kubwa la maadui Baba akirudi kutoka kazini utasikia watoto wakisema gaidi ashaingia hapo watoto wanakuwa wapole na wenye nidhamu na ikitokea mtoto kachelewa kurudi home ataumiza kichwa namna ya kumkwepa Gaidi au...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Lipumba:Nilimshawishi Warioba agombee urais kupitia UKAWA ,ilikuwa fedheha kumchagua Lowassa awe mgombea wetu

    Lipumba": ilikuwa fedheha kumchukua lowassa awe mgombea wetu wa urais.Lowassa alikuwa anapinga katiba ya Warioba na alikuwa mstari wa mbele kusapoti misimamo ya CCM. Lipumba":Kama mtu kutoka CCM tungemchukua awe mgombea wetu wa urais kama ingetokea sie 3 hatukukubaliana basi ingekuwa Jaji...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaka fedha benki ya Afrika kufadhili mradi wa Stiegler's

    Mkuu unapoteza muda WaTanzania ninachowakubali wanajua kupuuza Kama mange alivyopuuzwa na ww endelea kupoteza muda kucopy na kuandika post virefu ila waTanzania ni wazuri kwa kupuuza vibaraka
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli azindua taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete

    Kikwete kafa nini sasa? Anahitaji siasa za nn wakati cheo kikubwa kapata urais na kastaafu ? Kikwete kila kukicha yupo Canada mara usa mara Nigeria mara south mara Mozambique kwa ishu za kikubwa Tayari kaanzisha NGO kubwa Afrika Kwahiyo utajiri ndio ushawishi???lowassa ana ushawishi...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli azindua taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete

    Kikwete aliyestaafu ana ushawishi kuliko EL El kafa kisiasa kitambo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilwa adai sherehe za vita ya Majimaji haipaswi kufanyika Songea badala yake zifanyike Kilwa

    Huyo mbunge anawakilisha watu wa kilwa kwa muono wangu yupo sahihi sijaona kasoro.kama anataka jimbo lake liwe recognized haki yake sababu yeye anaipigania kilwa na sio dar,arusha.Ndio maana kuna somo la history na vitabu vilivyochapishwa na watu wanasoma .jibu la busara litolewe
  13. I

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Madola

    Kwahiyo samia ,mahiga na officials watakuwa wanazurura tu ?? Hawa si high ranking officials shida iko wapi ?
Back
Top Bottom