Recent content by iPhone 6

  1. iPhone 6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tangu umeanza mkuu na hii story nipo nafatilia.
  2. iPhone 6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Shukrani mkuu
  3. iPhone 6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Brother naomba unisaidie kupata ajira aisee haya maisha sio poa.
  4. iPhone 6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ila kiuharisia jamaa hamtendei haki mama J ,angekumbuka walipo toka manake Irene hata kama ana maisha angebaki kuwa mchepuko kwa maoni yangu.
  5. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Unaendelea mpaka kieleweke.
  6. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mshindi ni mimi mkuu
  7. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kutokujarabu ni matokeo ya uoga wa kupata natokeo mabaya
  8. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Majuto mara nyingi ni matokeo ya kukataa ushauri uliopewa na wakubwa zako
  9. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mjeda anachukuliwa kuwa mtu mtata ila ni mtu poa sana
  10. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wote tulikuwepo tukishuhudia yule jamaa alivokoswa kufumaniwa
  11. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yamezoeleka kutoka kwa wengine ila omba yasikupate utasaga meno
  12. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mauti ni mwanzo wa maisha mapya
  13. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamii ikikukataa jua maisha yatakua ya upweke
  14. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa mkopo nafuu

    Mkuu Kuna mawasiliano kama unaona wizi hachana nayo una uhuru wako wa kuamua utakacho me nimetangaza biashara nmefanya sehemu yangu kuamini au kutokuamini ni juu yako
  15. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa mkopo nafuu

    Calculation utafanyiwa baada ya kujua unataka gari gani na mkopo utalipa kwa muda gani hayo yote yatafanyika baada ya kujua mteja anahitaji nn ndo maana kuna mawasiliano kama hauko huru hacha tu mkuu option unazo nyingi fata kitakachokupa amani.
Back
Top Bottom