Recent content by inzovu

  1. inzovu

    JamiiForums Tanzania Namna dalmax alivyofinish hili draft nimejiona kama ngumbaru

    Naombeni mbinu jamani kijiweni wananitesa na vijembe vyao
  2. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Inatosha hata kama itakua laki tano
  3. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hahaaaaa imenibidi nicheke tu
  4. inzovu

    JamiiForums Tanzania Tusubirie mrejesho kazi za sensa

    Hapo pagumu wenye sifa ni wengi kupata nafasi sio kirahisi
  5. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Asante kwa ratiba ikibadilike uwe unatujuza
  6. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Omba tuu lkn kama yanarudi huku hapo kazi tunayo Bora yangetoka majina moja kwa moja mtandaoni Kila mmoja akajua kama amepata au hajapata Sasa hii ikifika wilayani wanaanza kuweka wa kwao hapa hatari san
  7. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Watakaochaguliwa majina Yao yatatumwa kwa watendaji au kwenye email zetu? Naomba msaada wa majibu
  8. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wengi wako upande Gani kalani na wasimamizi
  9. inzovu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kalani wa sensa na msimamizi wa sensa nafasi Gani hapo itakua na uhitaji wa idadi kubwa ya watu naamanisha kuajiliwa msaada tafadhali
  10. inzovu

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Draft - Ronaldo Awa Bingwa Kwa Kumfunga Issa Mamba

    Hahaaaaa Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  11. inzovu

    JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Uwezo unazidiana Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  12. inzovu

    JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Kweli kabisa Mimi naambulia droo hapo sasa nimeumiza kichwa Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  13. inzovu

    JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Hili game limenishinda kabisa na sijui na fel wapi mwanzo tunaanza vzr katikati zangu zinakosa uelekeo Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  14. inzovu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, Injiini gani ya gari niweke ili isile mafuta sana?

    Bado Sent using Jamii Forums mobile app
  15. inzovu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, Injiini gani ya gari niweke ili isile mafuta sana?

    Sio lazima utoe ushauri kama unaona ninachouliza ni upuuzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom