Kwenye mada hii Lumumba siwaoni kabisa, nafikiri ni hii legal language, u did well Wakili Msomi Masha cz ingekuwa lugha yetu ya kuimbia taarabu saa hizi replies zingekuwa buku na za kukuponda na kuiponda TLS. Tukutane Arusha tufanye maamuzi ya kisomi.
Wenye mapenzi mubasharaa na Paul Makonda au Daud swala la kumsifia halijibu hoja ya msingi iliyoulizwa na iliyosambaa mitaani. Tunahitaji majibu sio blabla. Hata hivyo wenye akili tunaanza kuhoji uelewa na weledi wake kuwa ni wa kiasi gani hasa kwa maamuzi na matamko take km vinalandana, ajibu...
Isipotekelezwa bunge limedharauliwa, na bunge likiamua kusimamia katiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mkuu, then ngoma drop hakuna serikali, uchaguzi unaanza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakushauri Zitto endelea na move kwani unachokisimamia ni sahihi, hakuna mhimili wenye nguvu kuliko mwingine, vilevile heshima ya binge italindwa na bunge na wabunge wenyewe, pambaneni tuko nyuma yako.
TLS ni kina wanachama zaidi ya elfu sita Tanganyika, ni wasomi wenye weledi, ambao ktk utendaji wa mhimili wa Mahakama mawakili ni wa muhimu sana, lkn pia uwepo wao ni walazima, chama hiki kupelekeshwa na member mmoja Mwakyembe kwa sababu ya ulevi wa madaraka si sawa kabisa. T LS kwa miaka yote...
Kama kitu hukielewi bora unyamaze, swala la kusema majaji wawe impeached ni kuiingilia mhimili wa Mahakama, hats hivyo kumtoa Jaji mjipange na sidhani km wataweza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.