Recent content by Inyanja

  1. I

    JamiiForums Tanzania Eti Kisukuma kina wazungumzaji wengi kuliko Kiswahili

    Huu ni upotoshaji mkubwa,ni utafiti wa kijinga na prof. Rugemalira huenda si jagina na abtali mbobezi wa lugha hii adhimu. Kiswahili ni lugha ya Taifa na lugha rasmi Tanzania. Sababu ya kuteuliwa kwake ni kuenea na kuwa na wazungumzaji lukuki. Kiswahili ni Lugha ya inayofndshwa tangu elimu ya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Eti Kisukuma kina wazungumzaji wengi kuliko Kiswahili

    Uongo mkubwa
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kifurushi cha Nyota cha Startimes

    Continental ina Chanel ya mieleka?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akabidhi msaada wa CHADEMA kwa waathirika Kahama

    Na bado
  5. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akabidhi msaada wa CHADEMA kwa waathirika Kahama

    Mutapasuka mwaka huu na ccm yenu
  6. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooni Kahama niende Mwanza. Idara Sekondari. 0765187608
  7. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wale wa kuja Kahama mie niende Mwanza,sekondari. Tuwasiliane
  8. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Pumzika Kwa Amani(P.K.A) John Komba. Kuanzia sasa msitumie R.I.P badala yake tumieni P.K.A
  9. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kahama nije Mwanza,Nyamagana au Ilemela. Idara Sekondari
Back
Top Bottom