Recent content by Investo

  1. Investo

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kujitolea

    Boss,tafuta kazi microfince km loan officer au mhasibu unaweza pata omba sehem nyingi hata kama hawajatangaza wewe jitangaze mwenyewe
  2. Investo

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Tanga! Nimekaa km mwezi hivi,maduka mtaanii kufungua saa nne(donge) ,watu hawapendi tabu kabisaa,kidogoro,siku ya mfungo maduka yatachelewa kufunguliwa yatawahi kufugwa,matunda km yotee ni sehem bomba kurefresh mind na sio kibiashara labda mazao
  3. Investo

    JamiiForums Tanzania Tupeane ushauri katika hili: Je, niendelee kujiajiri au niajiriwe?

    Boss,omba ajira ukipata serikalini nenda biashara ipo tu utafanya kwa uhuru bila stress endapo,utampata mweza mwenye akili ya biashara,Ila usiache kuomba maana biashara nazo hazitabiriki
  4. Investo

    JamiiForums Tanzania Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Mchukue maelezo mapema km una muweza,sio lzm iwe direct yeye atajiongeza km ni mtu wa kukusaidia atakusaidia km atakaza achana nae,all Zen best
  5. Investo

    JamiiForums Tanzania Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Hapo bhana,sio kwamba nakuvunja moyo,angalia majina ya watu walio omba alafu Sasa,jaribu kuwachukua maelezo,km Kuna watu unawafaham na km kunamtu aliwahi fanya hiyo interview Ila connection hapo ni muhim,hizi interview za nafasi za mda wengi wanoingia hata sifa hawana
  6. Investo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna Imani kuwa,wanawake au wanaume wanaweka kukuletea mikosi kwenye maisha yako vip wewe kwako unayaonaje maisha yako baada ya hayo mahusiano
  7. Investo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sasa mke wa mtu, nae ni dem?
  8. Investo

    JamiiForums Tanzania Vijana tumekuwa Watumwa, kutwa kuvaa tshirt za Kampuni huku kipato finyu

    Kwasababu mtaani,hawawezi kuvaa Mara kwa mara,ukilinganisha na mtu wa ofisini ambae kunasehem Wana sale kabisa unatakiwa kuvaa
  9. Investo

    JamiiForums Tanzania Vijana tumekuwa Watumwa, kutwa kuvaa tshirt za Kampuni huku kipato finyu

    Huna Cha kufanya,km huna uzoefu tafuta uzoefu uende kwingine
  10. Investo

    JamiiForums Tanzania Vijana tumekuwa Watumwa, kutwa kuvaa tshirt za Kampuni huku kipato finyu

    Hapo unafanya marketing indirectly
  11. Investo

    JamiiForums Tanzania Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Aixee sikushauri,sikuhizi mtu anaejitolea anaonekana km Hana maana kabisa,na mtu wakaribu alienda jitolea ,hapo njombe,aliowakuta wanasepa kaanza mmoja kakaa miezi mitatu,anapika kazi balaa Ila hata mia cheche,mwingine miezi sita hajapewa hata mia,siku anaondoka anawaaga hawajali...
  12. Investo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapo umeyatimba 😄
  13. Investo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    We piga screenshot,mazungumzo hifadhi,kwenye Google drive for future reference
  14. Investo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

    Warabu Koko,waga hawanaga urithi chukua hiyo
  15. Investo

    JamiiForums Tanzania Imechukua muda gani kutoboa katika biashara yako? Umejifunza nini?

    Waga nashangaa mtu anapo iga biashara ya mtu,jamani biashara sio kuuza tu,biashara ni zaidi ya unavyofikilia ,over!
Back
Top Bottom