Recent content by Intuition

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Nchimbi mambo ya kuwekana vizuizini ni mambo ya kishamba

    CCM hamna chama pale, kiliishavamiwa na walanguzi kitambo sana.Chama gani wanachama wao wanakiogopa, yaani wanatekwa wanazuiliwa wanachama wao, huwezi kuskia hata mmoja akikohoa, hiyo ni dalili ya woga na hofu kuu..
  2. I

    JamiiForums Tanzania Niliroga sana

    Hivi ushirikina na uchawi ni mambo ambayo kweli yapo? Je kuna faida gani ulipata au wanapata washirika? Je ushirikina una mipaka, kwa nini mchawi asiroge apate mafanikio, mfano kwa nini wachawi na waganga wasiroge wale wote waliohusika na vifo vya october 29, 25 wakashughurikiwa?? Kwa nini...
  3. I

    JamiiForums Tanzania ALINIRUHUSU KUINGIZA KICHWA TU!!

    Tabia, haiba ya mtu, yaliyomjaa kichwani huwa havikui, watu wanajivunga na kusupress ujinga au upumbavu wetu, likija suala la ID fake lazima true colours zionekane
  4. I

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Ninawasiwasi kama kweli aliyeandika uzi huu ni askari.Alipaswa ajue hali ya hewa humu.. Wajihidi liwe jeshi la wananchi na raia, sio wanasiasa, wezi na matapeli.Taaluma ya polisi ilipaswa kuwa taaluma ya watu wenye weredi wa kutosha na akili sababu maamuzi yao yanaweza sababisha maumivu, hasara...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

    Wakikosa wewe inakupunguzia kitu gani??
  6. I

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nitakwenda Tabora kumtetea Sophia, kumtongoza Mkuu wa Mkoa siyo Jinai

    Chacha kazingua sana, kutongoza, kutongozwa, kutongozana, ni ubinadamu.Na vitu vya kutunziana siri, sio kusemanasemana.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hadi huruma. Samia Suluhu kawa mdogo. Kifo kisikie kwa jirani

    Kwa hiyo Mr Hassan tayari uso na uso na akina Soka, Mdude n.k sipati picha wanavyomsema huko.Maisha ni kama upepo haya, binadamu tunajitutumua sana
  8. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kukisifu na kukiunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Kuna watu hatuna vyama: But kwa CCM- BIG NO.Chama tawala ambacho hakikemei utekekaji, upotezaji watu, uf-ra-j - i wa watekwaji, rushwa & ubadhurifu wa mali za umma, uonevu etc Hamna chama hapo kwa sasa, ni kukundi cha watu wenye tamaa za mali, madaraka, wenye connection, wenye mamlaka- wenye...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

    Hamna kitu kama hicho
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Hayo ni matatizo ya akili, sio upendo.Ni uwepo wa HISIA KALI juu ya mtu ambazo hazina uhalisia [INFATUATIONS]
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mnyika amjibu Mrema: Ungetaka walipwe wote, ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400

    Hivi hii kesi mbona ni kama movies za Kihindi, hayo maswali wanayoulizana yanahusiana nini na kinachoendelea???
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana Serikali, kwanza elewa Serikali ni nini?

    Mwisho wa siku wote futi 6 chini.Huwa nashangaa sana mnavojipa umuhimu et mtu kakutukana umpoteze...Unamuua au kumpoteza mtu wakati na wewe njia ni hiyo hiyo??Binadamu mnajisahau sana...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Haki, utawala bora, uongozi wa Taifa shirikishi kwa wananchi, watu wote kuwa na haki sawa.Ndo kichocheo kikubwa cha amani na maendeleo ya watu na taifa.Nje ya hapo ni kujenga nyumba juu ya mchanga, hata kama ni nzuri vipi, itashuka tu. Tz hatuna shida ya udini, makabila, ukanda etc.Hata hizi...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Sisi ni mijinga ssana sana, tena sanaa.Ya bara wanaumizana wao kwa kama matahira
Back
Top Bottom