Recent content by Intricate

  1. Intricate

    Wassira: Lukuvi alijiunga TANU 1954

    Duh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
  2. Intricate

    Afande: Ikitokea msafara wa rais umekutana na gari ya kubeba wagonjwa, basi msafara wa rais utaendele kupita na gari ya wagonjwa itasubiri

    Afande amesema itakapotea msafara wa Rais ukakutana na gari ya kubeba wagonjwa basi msafara wa Rais utaendelea ila gari ya wagonjwa itasimamishwa. Na amesema kwa sekunde hizo aziwezi kuondoa uhia wa mgonjwa na hata akifariki basi itakuwa siku yake imefika. Maana wao wapo kwaajili ya kumlinda...
  3. Intricate

    GE2025 Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi

    Huyu bibi gundu lake sio la dunia hii. Kila sehemu anakataliwa lakini kagoma kabisa kung'atuka.
  4. Intricate

    KERO TANESCO Ukonga mnazingua

    TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa. Mnatarajia watu waishi vipi bila ya umeme kwa masaa 24?
  5. Intricate

    GE2025 Inakuwaje kati ya wagombea wote wa urais ni mabango ya Samia tu ndiyo yametapakaa mitaani?

    KUlikuwa na haja gani ya kuwa na huu uchaguzi ikiwa ni maigizo matupu. Nimezunguka Dar yote sijaona picha wala bango la mgombea mwingine yeyote wa Uraisi mbali ya Samia. Ikija kwa wabunge na madiwani ni wa CCM tu ndio wametanda. Kwa picha chache za upinzani zilizopo ni vikaratasi vya A4...
  6. Intricate

    SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Hatimae umegundua sababu hasa ya kuwa bipolar kwako. Kumbe ile mitusi unayotukana watu ovyo kumbe huwa unakuwa period.
  7. Intricate

    Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Kubabake wameona Lissu anawadhalilisha
  8. Intricate

    GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

    msema kweli wet wipes tu hapo au mvua.
  9. Intricate

    GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

    She really NOSE how to dress, kapendeza na lipstick yake kama mama ubaya.
  10. Intricate

    GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Kipindi hicho na yeye alikuwa kimya pia?
  11. Intricate

    Godbless Lema amuandikia Jakaya Kikwete Waraka Mzito

    Sasa nani kwani alieratibu yote hayo ikiwa sio huyo huyo aliendikiwa waraka.
  12. Intricate

    Hivi akina Mzee Chenge mbona wapo kimya hivi?

    Unadhani miaka yote atakuwa na umri ule ule wa kuweza kusimama na kuongea. Aache kuwaza Diabetes , BP na erectile dysfunction awaze siasa.
  13. Intricate

    Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

    Yeye 68 mimi 28. Ndio mke wangu wa ndoa
  14. Intricate

    Nabii wa Zimbabwe nae anena:;A powerful woman on the throne

    Msoga ni kama kirusi, mpaka kwenye ramli anaonekana🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom