Not really....I am a little cautious about this piece of news......First, it is an East African Community project that is still under negotiatiation ....Second, it is a lot of loans within a short period (imagine Tshs 2.7 trillion loan that was disbursed by World Bank to Tanzania in 2016)...
Safi sana Zitto kazi yako ni kubwa sana.......michango yako yenye ueledi kwenye uchumi, kilimo, uwazi, uwajibikaji etc inaonekana......wewe ni hazina ya taifa hili.......Mleta mada au mods tuleteeni video husika nimeiona huko kwenye twitter yake.
Mods....@Innovator and Mhariri......huu uzi unahitaji kuunganishwa na wa kampeni husika ya mwaka 2015....Umeletwa hapa na MTU MCHONGANISHI.....Na mleta uzi haja-declare Jk aliongea haya maneno wapi na lini na kwa sababu gani...........
Jidu la Mabambasi. Uko 'tricky' sana. Umeona um-provoke Chige ili apoteze mwelekeo na umefanikiwa kwa kiasi kikubwa.....Chige na wewe unawezaje kukosana na anonymous ID..... Humjui Jidu la Mabambasi lakini unatokwa povu haswa.......Teh teh teh JF raha........
Hii mada imeletwa na kada wa CCM kimkakati zaidi. Na nafikiri nia yake kubwa ni kuziokota akili za 'nyumbu fulani fulani' ambao uki-click ACT Wazalendo basi wataiongelea kwa 'usaliti' na 'kutoaminika'. Mleta mada ameshafanikiwa sana tu...... Nyumbu kadhaa wameshawasha moto....... Naona mleta...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ukifuatilia sera zao na wanavyoshughulika na maswala muhimu kwa Taifa hili (pia press conferences zao) utatambua hawa ACT wako mbele zaidi ya 'big bulls' yaani UKAWA na CCM. Any neutral political analyst can see substantial value and substance in their...
Kwa hiyo wewe unaiamini sana Chadema ambayo toka Lissu apigwe risasi hawajaiwajibisha serikali kwenye kitu chochote zaidi ya kuja na press conferences lukuki kuhusu hali ya Lissu huko Nairobi? Katika awamu hii watu waliojitoa sana namba moja ni Lissu (jembe haswa) na wa pili Zitto (bila shaka...
Good move. Penda usipende Zitto ni asset (hoja zake si za kuropoka au maneno ya kanga bali takwimu na data). Lakini si jambo la ajabu Chadema iliyopoa kama maji ya mtungini baada ya jembe (Lissu) kuwa mgonjwa kuendekeza ukiritimba ambao utazaa mabishano ya wapinzani wenyewe kwa wenyewe na chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.