Recent content by Internal Control

  1. Internal Control

    Mfalme Baraghash ni Mtawala bora kuliko wote Zanzibar

    Naupenda sana mji mkongwe naweza kupata wapi historia yake kwa namna gani uliweza kujengwa vile mwanzo hadi mwisho wa ujenzi wake?
  2. Internal Control

    Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Kamtumia salamu Home Shopping Centre leo ikulu mkutano na wafanya biashara naomba kunukuu.. "Nchi hii imejaaliwa kila kitu na kwasababu hio baadhi ya wafanyabiashara sasa wamekua na tabia ya kukwepa hata kulipa kodi ninafahamu mchezo mwingine ambao umekua ukifanyika wafanyabiashara wengine...
  3. Internal Control

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Kanda ya ziwa hatuna mashoga kama wewe usitutie shombo
  4. Internal Control

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Wananikera sana watu huku wako onfire wanasubiri tamko hawa watu wanalega lega tu Mbowe sio kamanda tuliemzoea amekua weak sana atoe tamko kesho tuanze kuitafuta haki
  5. Internal Control

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Hivi Mbowe naomba nikuulize unasubiri Magufuli aapishwe ndo uwaambie watu waingie barabarani kama tunaingia road huu ndo muda hivi mnasubiri nn ni wakati wa nguvu ya umma
  6. Internal Control

    The Great Question Of The Day

    Upinzani Siku Zote Huwa Wakishindwa Chaguzi Hawana Tatizo, Wanakubali Matokeo na Wanakuja Kumpongeza Rais Wa Chama Tawala Wakati Wa Kuapishwa Kwake Na Maisha Huendelea Tena Kwa Amani Kubwa tu. Swali Ninalojiuliza Ni Kuwa Je Ikitokea Upinzani Ukashinda, Je Hao Chama tawala Watakubali Kutoka...
  7. Internal Control

    Mabadiliko ya Lowassa dhidi ya Mabadiliko ya Magufuli

    Honestly cjawaelewa kabisa
  8. Internal Control

    Mabadiliko ya Lowassa dhidi ya Mabadiliko ya Magufuli

    Ndo ukweli mgumu kumeza @ barafuyamoto
  9. Internal Control

    Mabadiliko ya Lowassa dhidi ya Mabadiliko ya Magufuli

    Hilo Jopo linafanya kazi bure au kama wanalipwa kwa pesa ipi ndo yale yale Chenge akapewa atunge katiba
  10. Internal Control

    Mabadiliko ya Lowassa dhidi ya Mabadiliko ya Magufuli

    Ni kubwa Mno Mpaka Naanza Kuogopa Leo Mapema Asubuhi Mtaa Wa Samora Nikielekea Kibaruani Nimekutana Na Mtu Anatembea Kwa Kasi Huku Anaongea Peke Ake Huku Akilaani Nanukuu "Mwaka Huu CCM Lazima Waondoke......" Huku Akitoa Matusi Kama Kichaa. Mind You Alikua Anaongea Peke Ake Huku Anatembea...
  11. Internal Control

    Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

    We unamtafuta Gwajima ns utampata sema we sio size yake atakupuuza tu hao waliokutuma watackitika sana akikujibu utajuta kua mwanaume unatumika kama hawala
  12. Internal Control

    UKAWA sio Mbowe wala Lowassa

    Jambo kubwa wana wa ugambani wanashindwa kutambua ni kwamba Ukawa sio ya Mbowe sio ya Mbatia sio ya Lowassa wala ya sio ya kiongozi yoyote ndani ya Ukawa hii ni mali ya wananchi waliochoka udhalimu wa CCM na wanaotaka mabadiliko hata CCM wawanunue viongozi wote wa juu wa Ukawa hata wakimnunua...
  13. Internal Control

    Paul Chagonja: Ni kawaida kwa timu ilioshindwa...

    Kwanini lakini wanatuchokoza hivi siku tukichoka hii nchi haitakalika naomba tu ICC wawe wanaangalia hivi viashiria vidogo vidogo vinavyotupeleka kwenye machafuko
  14. Internal Control

    Paul Chagonja: Ni kawaida kwa timu ilioshindwa...

    Sio kwa Tanzania mkuu labda Denmark
Back
Top Bottom