Recent content by Intergral

  1. I

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Wewe ni nani kwenye vyombo vya usalama hadi huyo mtu aliyekuwa na huo mkanda akupe wewe badala ya kuupeleka moja kwa moja polisi?? Au unafanya biashara ya kununua mikanda yenye mipango ya mauaji?? Tuambie mkuu
  2. I

    Chadema inatumia suala la Gesi Mtwara kujijenga Kisiasa Mikoa ya Lindi na Mtwara.

    We unataka watumie suala la gesi kujinufaisha kifisadi kama magamba???
  3. I

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Ben nakukubali sana kamanda wangu simamia ukweli wa kweli kuliko huyu anaesimamia ukweli wa uongo! Go ahead Comrade
  4. I

    BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

    Fukuza hao virus aina ya Trojan wanaotaka kuharibu chama siku zote vijana ndo walinzi wa Chama, BAVICHA onesheni uimara wenu kwa kuwa 'purge' hao mamluki!!!
  5. I

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

    Tatizo lako unawaza kimagamba zaidi hebu jaribu kuwaza kivingine then utaona matokeo yake
  6. I

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Kweli nimeamini Nape na Chama Cha Maajabu (C C M) ni wafa maji wanahitaji boya (CHADEMA) kujiokoa kabla hawajazama ifikapo 2015!!!
  7. I

    Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

    Umaskini wa mawazo ya viongozi wa serikali yenu ndo umesababisha umaskini huu wa kiuchumi
Back
Top Bottom