Lissu amenifurahisha sana na ile hoja yake ya elimu.
to be honest sijawahi dhani kuna muafrika angewaza vile kuhusu elimu hivyo sina budi kumpa kura yangu.
Change my mind....
Kwanza wajenge majengo ambayo yatatumika kwa muda na hizo familia za hao wakazi.....baada ya kukamilika kwa ujenzi warudishwe kwenye makazi yao mapya yaliyopangwa....
Katika mambo yanayorudisha nyuma afrika na Tanzania yetu ni ubaguzi wa kidini...... magufuli ana nia njema ya kuondoa ubaguzi wa kidini nchini ili tusonge mbele kitaifa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.