Wakuu nimefanya service ya injectors pump na nozzel za Nissan patrol Y60 lakini bado nimeshangaa gari ina mlio usio wa kawaida wakuu nisaidien nini cha kufanya.
Kila siku serikali inaongeza ugumu katika uagizaji wa magari ama kwa kuongeza Kodi au kuleta complication tu zitakazo ongeza urasimu usio na sababu ila lengo Ni kuwaumiza raia tu hamna kingine
Msaada ndugu zangu gari yangu Nissan patrol engine td 42 inasumbua sana kuwaka nilipeleka pump service ila bado gar haitaki kuwaka. Wap naweza pata fundi mzuri kwa Sasa nipo dar
Uchunguzi ni had watumwe na rais, ingekua hawajutumwa wasingechunguza. Hii taasisi haifanyi kaz kwa weled na inatumika kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.