Sikuiz wakubwa wachache wamekuwa mashosti na mashost wenye jina lao nao wamegeuka kuwa wachanga wadekao ndio maana wanatuonesha makalio yenye michilizi misula ilio chubuka wanja wa kinafki kama midoli iliyo na dhana ya shetani, tena hao hao ndio wanataka waitwe wazaz wema, wametanguliza ujinga...