Recent content by instagram

  1. instagram

    Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  2. instagram

    Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Yule mama mhindi kaambiwa ku smile ndiyo class ila kazidisha sana, inferiority complex sababu wazungu wanawachukia sana wahindi sikuhizi sababu ya viza za H-1B
  3. instagram

    Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Wewe unaishi wapi? Kwani kila waziri anajulikana tayari, nashangaa wako hapo ila hajawapa heshima kubwa kama mayajiri. Alafu kama unazani wakishaapishwa ndiyo itakuwa tofauti hapo kwenye picha nyuma ya Zuckerberg kakaa speaker wa bunge la senate ambaye republican
  4. instagram

    Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Elon atagombana na Trump mda si mrefu. Elon mjanja mjanja anajiweka kwa trump ili awatumie wafuasi wa Trump kukuzq dhamani ya hisa za makampuni yake na magari yake ya umeme, kilichomfanya kupanda sana tangu anunue Twitter na kumrudishia Trump account yake, ila trump leo kasema atachimba mafuta...
  5. instagram

    Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Zuckerberg ndo tajiri pekee atakayefikia Trillionaire level.
  6. instagram

    Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Utakuta mkumbo ndo kavimba siti za mbele alafu mooo yuko kuleee.
  7. instagram

    Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa Google, wamekaa siti ya mbele kwenye shughuli ya uapisho wa raisi Trump wakati mawaziri wake wamekaa...
  8. instagram

    PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Imekuwa ni siku ya furaha tele kwa wanachama wa chama cha CCM leo baada ya rais kutangazwa upya mgombea wa CCM 2025. Wajumbe hawa wote majimbo yako huru naona ubunge unanukia 2025. Mbunge mtarajiwa kinje na mbunge mtarajiwa faraja.
  9. instagram

    Hajawahi kutokea mwenyekiti wa chama cha siasa mwenye nguvu kushinda Mbowe nchi hii

    Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂. Mbowe oyeee ,(Magufuli). Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.
  10. instagram

    BBC ndiyo nini hiki? Udini huu

    Hilo linafahamika sana
  11. instagram

    BBC ndiyo nini hiki? Udini huu

    Wakati Kiongozi wa kiroho wa katoliki akielekeza uzinduzi wa kanisa la Notre Dame akiwa Rome, kiongozi wa dini nyingine anaelekeza wafuasi wake wapigane vita syria akiwa Tehrani. Hivi kiongozi wa kiroho anawezaje kutoa maelekezo kwa wafuasi wake hezbollah na hamas wapigane vita Syria dhidi ya...
  12. instagram

    Makonda akaribisha viongozi

  13. instagram

    Tanesco muwe na line zenu za simu kwa ajili ya LUKU. Mitandao inatutesa

    Kama kweli wewe ni wa kuweza kununuanunua umeme kwenye kila channel unashindwa kumiliki kisimu cha kitochi maalumu chenye logo ya Tanesco maalumu kwa kulipia umeme tu ambacho hakigharimu zaidi ya elfu 25 ambacho pia ni mbadala wa kimashine cha luku hata kimashine chako cha luku kikikiwa hakina...
Back
Top Bottom