Recent content by INSPIRER

  1. I

    JamiiForums Tanzania Reception ya mwanamke iko wapi?

    Reception iko mbele kwnz...wanaume weng wamekua wakiangalia uzur wa sura km ina mvuto au lah, ila huko nyuma n katk kuthbitisha uhalisia wa mapokez
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli jamani?

    Hahaha
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tupeane elimu: Yapi mavazi sahihi ya kulalia usiku kwa wanandoa?

    Yaan we jamaa hapana...duuuh umenvunja mbavu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Kambarage, Kawawa na Malecela hawakuwa Watanzania?

    Sidhan kama vijana ss ambao tunatakiwa kuitunza historia ya nchi hii tunazungumza mambo ambayo hayana ukweli wowote zaid ya propaganda zakupotosha akili zetu.....tubadilike wadau
  5. I

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Me nafkr n vema tukaendelea kua na serikali moja, tukivunja muungano n sawa na kupinga kile ambcho kiliwekwa na waasis wa nchi hii
  6. I

    JamiiForums Tanzania escrow

    Wadau hili sakata la escrow mbona me sielew kitu hatma yake n nn
  7. I

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Me nadhan yule mr karate hana ujuz wwte zaid ya kutaka kuwapoteza watu na kuanza kuwajengea hofu juu ya iman potofu za mizimu...wat i can sayGod z dere 4 us, so lets biliv dat masonic has got no ground to exercise dere furious
Back
Top Bottom