Recent content by Inshiyetu

  1. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri bungeni - April 04, 2017: Mama Salma Kikwete aapa kuwa Mbunge, Kikwete ashangiliwa...

    Hapa nanyi mmezidisha chumvi. Sasa hili la Rwanda limetoka wapi?. Yaani umejitungia uongo na kuamini kuwa ametokea Rwanda?. Hivi kweli kuna watu humu watakuamini?. Mbona ni uongo tena ni uongo mweupe sana.
  2. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aandika barua kuomba radhi kuwakejeli wabunge

    Tuna shangaa sana, watu kuungana na kuongelea mtu mmoja tu. Wao wenyewe walishasema kuwa hawata muandika, ila bado wanatokwa mapovu kila kukicha. Sijui nyuma ya pazia kuna nini?. Tungependa Mh. Makonda angepewa mamlaka yote hata yasiofuata taratibu kumaliza kabisa masuala ya madawa ya kulevya...
  3. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: No longer at ease

    wa wauza unga.
  4. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Asante sana kwa habari ya ukweli. MH. MAGUFULI NI CHAGUO LA MUNGU
  5. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Hivi kweli hiyo ripoti haijaandikwa na mama nanii, yule aliyemrekodi Stive?
  6. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye adaiwa kukamatwa, akanusha na kusema YUPO na Mkutano upo palepale

    Sasa tumia muda wako vema kupinga madawa ya kulevya na sio issue ya mtu mmoja. Yaani suala na mtu mmoja tu ndio linafanya nchi ikose amani?. Tazama sasa wauza unga wamepata mwanya wa kufanya yao. Ulikuwa waziri wa Vijana ambao ndio wahadhirika wa madawa. Hata hivyo bado una nafasi ya kupinga...
  7. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Tusiandike au kuonyesha tena habari za Makonda, bali tuandike habari za Madawa ya Kulevya

    Ni wazo jema kutokuandika habari za Makonda, ni muda muhafaka wa kuandika habari za wanaochafua hili Taifa ambalo linaelekea kuwa na umaarufu duniani kwa madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kwa jamii yetu. Tushikamane kwa pamoja kupiga vita hili tatizo. MUNGU...
  8. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu Maendeleo yetu na Madawa ya Kulevya zaidi ya Makonda na Nape

    Jambo la muhimu kwa Taifa hili ambalo lingetakiwa kuongelewa na kulitendea kazi ni la madawa ya kulevya na sio Makonda au Nape. Ni vema tukafunga huu mjadala na kuanza ukurasa mpya wa changamoto na juhudi za kujenga Taifa. Mbona kuna mengi tu wanayoendelea mfano mzuri ujenzi wa mabarabara...
  9. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Sijapenda TLS iwe na kiongozi wa CCM wala CHADEMA. Alama ya sheria ina misani ya kuweka usawa na sio uchama.
  10. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Yaani mimi kusema tu ukweli kuwa TLS inaenda kuwa CHADEMA, ni kosa? na kushambuliwa kama nimetukana na hali ni kweli. Sasa labda niwafurahishe kwa kusema kuwa TLS inakwenda kuwa CCM. Sijui na hilo pia litawaudhi? Hii niaonyesha kuwa mnachukiana sana nyie wanavyama vya siasa. Tunawaombea...
  11. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Wazo lako ni zuri sana. Wana siasa wanachukiana sana, tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida. Angalia wanavyoshambuliana majukwaani, wanavyopigana kwa maneno na vitendo, wanavyokamatana. Yaani hawapendani kabisa ni kama maadui. Vyama vyoote yaani tawala na pinzani vinarushiana madongo, na sisi...
  12. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    KAMA WALIONGOZA CCM KWA MASILAHI YAO, HAIKUWA SAHIHI.
  13. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Hapo kwenye wekundu, ndipo ulipojijibu sahihi, na ukamalizia kuwa kushikwa na Lisu (CHADEMA).... unajieleza kama ninavyofikiria. Sasa hapo kunautofauti gani na nilivyojieleza? Mnatoa mapovu ya bure tu. Mimi siko CCM wala CHADEMA bali ni hasira zenu tu zinawasumbua. Yaani mlitaka niseme kuwa...
  14. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Hakikuwa na chama, ndio maana kuna kina Lisu, Mwakyembe, ..... hakikufuata chama. Kilikuwa ni cha Tanganyika kama inavyojiita.
  15. Inshiyetu

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Tafuta kitambaa ujifute povu.
Back
Top Bottom