Inshiyetu
Member
- Jan 6, 2017
- 85
- 53
Ni wazo jema kutokuandika habari za Makonda, ni muda muhafaka wa kuandika habari za wanaochafua hili Taifa ambalo linaelekea kuwa na umaarufu duniani kwa madawa ya kulevya.
Madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kwa jamii yetu. Tushikamane kwa pamoja kupiga vita hili tatizo.
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU WABARIKI WALIO MSITARI WA MBELE KUPINGA MADAWA YA KULEVYA NA MADHAMBI YATE.