Inshiyetu
Member
- Jan 6, 2017
- 85
- 53
Jambo la muhimu kwa Taifa hili ambalo lingetakiwa kuongelewa na kulitendea kazi ni la madawa ya kulevya na sio Makonda au Nape.
Ni vema tukafunga huu mjadala na kuanza ukurasa mpya wa changamoto na juhudi za kujenga Taifa.
Mbona kuna mengi tu wanayoendelea mfano mzuri ujenzi wa mabarabara, viwanda, ndege za abiria, kuhamia Dodoma na news zingine nyingi ambazo ni nzuri sana za kimaendeleo. Kwanini tuzungumzie watu badala ya issues?.
Hivi vita vya madawa ya kulevya kweli ni kazi ngumu sana. Ila KWA SERIKALI HII, INAWEZEKANA.
JANA WENGI WALIPANGA WASILIZUNGUMZIE TENA HILI NA WALA WASITANGAZE HABARI ZA MAKONDA KWENYE VYOMBO VYA HABARI. MBONA LEO MUMEMUANDIKA SANA?
WACHUNGAJI HAWA SASA NINYI MTAPINGA KUZUIA MADAWA?
Hii ni inshi yetu.
Haya anzeni kunipinga sasa.
MUNGU IBARIKI TANZANI! MUNGU WABARIKI WAPIGANAJI WA KUPIGA CHINI WAUZA MAUNGA.