Recent content by inox

  1. I

    Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

    hiyo gari imepaki tuu mahala kwenye kivuli cha mnazi. sasa waliopiga hiyo picha wanasema hapo ni wapi?
  2. I

    Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Mtoto akinyea mkono kwani utaukata? Hiyo ni si hasa tuu na kick. Damu ni nzito kuliko maji. Kaeni na akili zenu
  3. I

    Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Huyu mdada amecommit fallacy kwani lowasa ni mmoja hapa tanzania. Watanzania bana; huyu mdada anamaanisha LOWASSA ni ukoo baba yake anatokana nao.
  4. I

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Kama hili jambo lina nia njema lifanyike kimya kimya kwa litaleta chuki na wakati mwingine watu kuhama makanisa na misikiti. Na ndoa kuvunjika.
  5. I

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Hiyo ndiyo ilikuwa strategy. Lakini si issue si wanaume waliokamilika. Ukizingatia shule ni bure
  6. I

    CCM yaitaka Polisi imhoji Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa CHADEMA walioshiriki maandamano yasiyo halali

    Kikatiba maandamano ni halali na haki. Nchi haiongozwi kwa ilani ya chama fulani katiba ndugu
  7. I

    Humphrey Polepole awaomba polisi, CHADEMA wasilinde kura

    Polisi waajiriwa wa CCM hawawezi kutenda haki.
  8. I

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Kwani wewe unatoka chombo gani cha kimataifa kutujuza hili..... Au umeandika kutoka source ,chombo au mtandao gani. Bila kuwa na data sahihi. Utashitakiwa
  9. I

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Ni kipi kilianza kati ya DINI na serikali? Anayesema hivyo ni muhumini pia wa dini fuluni. Tafakuri
  10. I

    Polepole apingana na tamko la Serikali, asema viongozi wa dini waongee siasa

    Wakati mwingine wanayozungunza viongozi wa dini wanakuwa wametumwa na ROHO MTAKATIFU. Kwa wakati mwingine tuwe waangalifu tusibishane na sauti ya MUNGU. Tutaangamia kwa kukosa maarifa
  11. I

    Anthony Komu, (CHADEMA): Kususia uchaguzi si sahihi haya ni mapambano, kwenye vita unapopigana ukikosea unajisahihisha

    Huyu KOMU labda ana silaha za moto na jeshi ili waweze kupambana na upande wa pili.
  12. I

    Mama Gaudensia D. Kabaka Achaguliwa Mwenyekiti Umoja Wa Wanawake Tanzania ( UWT) Taifa

    Kanda ya ziwa pia? Bac kuna kila dalili baadhi ya watu waliokuwa wanaamini usawa katika chama lakini wakajikuta ni watumwa ndani ya chama chao.
  13. I

    Polisi waua watatu "wanaodhaniwa' kuua askari Kibiti. Hii kuua watu kwa kudhani mpaka lini?

    Jamani hili si Jambo la kishabiki. Kudhani na Kuaamua kupiga risasi siafiki. Ningesikia tumewakamata kwa kuzani Ni wauaji. Hapo sawa. What if ikaja kudhibitika wauaji Ni watu wengine? Kutatua tatizo lazima utafute root causes yake na Ni through kushirikia jamii ya hapo pamoja kuhoji wanaodhani.
Back
Top Bottom