Recent content by inocent John

  1. I

    Roma bado inatawala dunia

    Majuma sabini ni ya Tangu utawala wa nebkadreza Hadi utawala huo ulipopinduliwa na Iskandar mashuhur Wasabato wanadanganyana ndio maana hawapati waumini, badala ya kufundisha watu kuacha dhambi , wanakazana kufundisha historia na tungo za kinabii, yaani wao ni manabii
  2. I

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Katila kufananisha Dar City na Nairobi, tusisahau kuwa dar es salaam imeendelezwa na watazania wenyewe baada ya Uhuru, lakini Nairobi ilishaanza kujengwa na muingereza tangu karne ya 19 kabla ya Uhuru wa kenya
  3. I

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Katila kufananisha Dar City na Nairobi, tusisahau kuwa dar es salaam imeendelezwa na watazania wenyewe baada ya Uhuru, lakini Nairobi ilishaanza kujengwa na muingereza tangu 19century kabla ya Uhuru wa kenya
  4. I

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Wenzetu Imani yao imejikita zaidi kwa matendo ya kimwili, hata KUENEA kwake sio kwa mahuburi, na kumfanya mtuu aamini na aamue kujiunga : Ila na kwa Vita na kwa kuoa mtu wa Imani tofauti na kumlazimisha mtu wa Imani tofauti ndio aamie upande wao, au kwa kuwagawia msaada wenye njaa na umasikini...
  5. I

    CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Nachokumbuka, baada ya TEC ,kutoa maoni, Kuna kikundi kilipandikiwa na chama tawala, kikijiita watetezi wa uislamu, kikasema wanampinga kwa kuwa raisi ni muislamu, pia kwa kuwa dp world ni waarabu pia waislamu, ndipo kauli ya Lema , kwenye mikutano Fulani iiaibuka hasa pale mbagala, Pia Kama...
  6. I

    Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Yaani, wasabato wao njia ya kujipatia waumini , ni kulipiga mawe kanisa katoliki. Na ndio maana miaka 50 ijayo inakadiriwa kuwa uislamu itakuwa ndio dini kubwa duniani, nikafanya utafiti, nikagundua kuwa waislamu Wana madhehebu tofauti, lakini sijawai KUONA muislamu wa dhehebu Fulani anasimama...
Back
Top Bottom