Recent content by Ino

  1. Ino

    JamiiForums Tanzania Hii ilikuwa kali ya mwaka jana

    hahahahahahahahahahahahahahahahahaha
  2. Ino

    JamiiForums Tanzania Unataka Nichekwe?

    maswali (nani akucheke wakati chupi yako naona peke yangu?)
  3. Ino

    JamiiForums Tanzania Je! Nani mwenye dhambi?

    Siku moja ya ibada kanisani askofu alipitisha mchango kwa ajiri ya ujenzi wa kanisa waumini walichanga sh 35,000 tu, ghafla wakaingia majambazi wakaliteka kanisa na kuamuru kilammoja atoe kilichomo mfukoni mwake,wakakusanya sh 8,2000,000. Baadae majambazi wale wakamwita askofu na kumkabidhi...
  4. Ino

    JamiiForums Tanzania Duh! Madoctor wetu noma.

    Siku moja binti alikuwa anasumbuliwa na haja ndogo ilim'bidi aende hospitali akacheki: Binti: Doctor nikikojoa natowa mkojo wa brown. Doctor:Unafanya mapenzi mara ngapi kwa siku? Binti:Nafanya mapenzi mara mbili kwa mwaka. Doctor:Hiyo ni kutu --------,utakufa siku sio zako hebu njoo haraka...
  5. Ino

    JamiiForums Tanzania Ha! Siku ya wajinga?

    Ungekuwa wewe ungefanyaje? Umerudi nyumbani mapema kuliko kawaida, ile unaingia ndani unamkuta mkeo na rafikiyako wa karibu sana kitandani wamekumbatiana wakiwa uchi, kwa hasira unawauliza kulikoni wanakwambi eti ni siku ya wajinga na ukiangalia ni kweli.
  6. Ino

    JamiiForums Tanzania Kanga yazua balaa

    Jamaa mmoja mkazi wa lamu amempa mkewe taraka 3 baada ya kukasirishwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga aliyovaa mkewe. Jamaa ambaye alisafiri kwa muda wa miezi 2,alishtushwa aliporudi na kumkuta mkewe amevaa kanga iliyoandikwa "heri nimpe jirani kuliko kioze ndani"
  7. Ino

    JamiiForums Tanzania toa tofauti

    umekosa O ni herufi na 0 ni namba
  8. Ino

    JamiiForums Tanzania Je! Ungekuwa wewe ungefanyake?

    Siku moja baba alimwaga mkewe anaenda safari kikazi ambaya ingemchuwa miezi 6 nje ya mkoa, sasa wakati mkewe anamsindikiza ilikuwa hv: Mke: Mme wangu ntakumisi kweli ila sina namna jinsi tulivyozoeana na ku do kila siku sijui itakuwaje. Mme: Usijari mke wangu ntarudi tu niombee yote ntakuja...
  9. Ino

    JamiiForums Tanzania Mwlimu na mwanafunzi

    siku moja mwalimu wa sayansi aliingi darasani kwa akinana kizibo,kizibo alikuwa na swali la mtego kwa mwalimu wake,mambo yalikuwa hivi: Kizibo.Eti mwalimu,hivi ukichanganya sabuni ya OMO na FOMA eti itatowa povu? Mwalimu:We pumbafu sana swali gani hilo lakijinga? kwanini isitoe povu wakati zote...
  10. Ino

    JamiiForums Tanzania Sharo kampigia gal wake usiku wa manane kumuonesha amekimaster kizungu

    kwa kwa kwa kwa duh! ligha hiz, noma kwelikweli.
  11. Ino

    JamiiForums Tanzania R.I.P Omar Omar

    Sote tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi, tunakuombea nasi tupo nyuma yako.
  12. Ino

    JamiiForums Tanzania OMARI OMARI afariki dunia

    kwa wasio mjuwa Omar Omar huyu hapa pichani.R.I.P
  13. Ino

    JamiiForums Tanzania Mapenz ya Facebook

    umetisha saaaana, big up
  14. Ino

    JamiiForums Tanzania Watoto wasomi kazi kweli kweli

    duh! hii kali na baba naye mbugilambugila basi tena
  15. Ino

    JamiiForums Tanzania umiza kichwa

    thats goog.
Back
Top Bottom