Sio jambo la mantuki kwa kijna kuongelea mshahara wa rais wako kwann nuda huo usitumie kwa kufikirue njia gan ya kujikwamua na kujipanua kimaisha ...ndo maana hatuendelei wa gz siye
Kweli ccm ni chama kikongwe na chama chenye rasilimali nyingi hela na asilimali watu hayo maneno yalizihirika jana ndan ya uwanja wa majimanj songea pale rundo la watu wenye mapenzi makubwa na chama walipojitokeza kwa wingi kwenye maazimisho yale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.