Recent content by Innocizy

  1. Innocizy

    Natafuta Retractable badge reels

    Hello, Natafuta stationary au duka ambalo linauza hizi kamba za kuning'inizia vitambulisho vya staff, na ambazo zinavutika na kurudi (Retractable reels) kama pichani. Kama unazo kindly nicheki PM tuongee. Nahitaji kama 150 hivi. Asante
  2. Innocizy

    Vendor wa sound proofing

    Hello dears, Natafuta kampuni ambayo inaweza kufanya soundproofing kwenye boardroom 2 na executive offices mbili pia. Kama mpo naomba mnicheck PM ukisema jina la kampuni, if registered, location, na mfano wa kazi mlizofanya. Asanteni.
  3. Innocizy

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mwenye connection za maduka ya wachina yanayouza viatu vya kike. Nahitaji hizi Mossimo Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  4. Innocizy

    Series (Special thread)

    Na wenyewe kama 24? Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  5. Innocizy

    GSM Ream paper 100 -110 gram

    Mkuu naomba unielekeze ambao wanazo hizi. Though will check them(jamana) leo mapema
  6. Innocizy

    GSM Ream paper 100 -110 gram

    Asante sana
  7. Innocizy

    GSM Ream paper 100 -110 gram

    Asante mkuu. Una contacts?
  8. Innocizy

    GSM Ream paper 100 -110 gram

    18,000 kwa Ream yenye karatasi 500. Mzigo ukiwa sawa kila baada ya miezi miwili tunachukua ream 200
  9. Innocizy

    GSM Ream paper 100 -110 gram

    Habari wakuu, Natafuta wauzaji wenye hizi GSM superior paper za kuanzia gram 100 hadi 110 nyeupe.Natafuta kwa niaba ya shirika na offer yetu ni nzuri. Kama unazo au unajua zilipo kindly PM me. Asante
  10. Innocizy

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Wapi gcam ya A20? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Innocizy

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Share link ya hizi zote. A30, A50 na A70. Asante
  12. Innocizy

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu naomba nisaidie link ya Samsung A20. These are the results. Thanks
  13. Innocizy

    Z3x 2019 crack

    hapo ndio changamoto. japo nimegundua hii model haina repair ya IMEI zaidi ya kuflash Certificate file na EFS ili kurestore IMEI. napambana kupata Cert file.
Back
Top Bottom