Recent content by Innocent Shenyagwa

  1. I

    Kwa mawakala wa M-pesa nisaidieni haya

    Usalama!?? Kivipi ndugu BALAGASHIA naomba unichanganulie kidogo
  2. I

    Kwa mawakala wa M-pesa nisaidieni haya

    Ningependa kujua namna yakuwezesha till no. Yangu (namba yangu ya uwakala) na huduma yakuuza vocha na vifurushi maarufu kama VODAFASTA inawezekana?
  3. I

    For medical students!

    Dah! nimefurahi sana kukutana na jukwaa hili pamoja na elimu nzuri ya ndugu Njiwa. Binafsi nimemaliza mwaka wa kwanza mwezi huu mwanzoni na nilipata dondoo hizi kipindi niko semester ya kwanza japo sio kwa kina sana, nilijitahidi kujua hasa kuhusu hili swala ilanilikosa msaada mpaka leo...
Back
Top Bottom