Recent content by Innocent Shao

  1. I

    Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Umesoma uchumi buda GDP ya nchi ukijua iloubwa sana kaaa t kfautou na nigeria yettokana na mamb meng kwaiyo atuwez kufanana kwanza population fulani inakua ku
  2. I

    Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Uza mahindi ya kuchoma inatosha iyo buda unalipa kodi par day katika eneo lako ukubaliane nae ivo
  3. I

    Kwanini nchi nyingi za Kiislamu huwa kwenye migogoro?

    Afande rama alikua nani kwani. Na zile ndoa za zanziba sio waislam acha zako. Ushoga auna dini mzeee kaa ukijua ilo ni janga la dunia nzima mnapinga wakat kote duniani umejaa ushoga ni swala ambalo lipo kila maala na. Amna dini ishawai kulea uo upuuzi
  4. I

    Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Usiangalie vya wenzako kuwa wamepata tayari ujui wametumia njia ipi isitoshe bado we nikijana. Ni kuangalia unakosea wap unarud upya. We elewa ambao tunajitafuta tupo wengi sana. Na kujipata ni juudi zako na kuomba Mungu
  5. I

    Ushoga katika taifa la Israeli

    Mtoa post ana yake ya moyoni na hiii ni kwasababu ya chuki binafsi na yote anayo ongelea ni porojo tuuu. Kiualisia ushoga umetapaka dunia nzima akuna kusema labla ni sehem flani wala nni ukirud ata tanzania yetu maadili yanaporomoka kutkana na kutokua na nguvu ya kukemea ukisema israel...
Back
Top Bottom