Recent content by inno moses

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ninavutiwa sana na wanawake wanaovaa uniform, wananisisimua sana

    Kuwa mkweli waambie unapojisikia utakavyojibiwa hiyo ndio dawa ya ugonjwa wako.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

    Uchunguzi huru wa kimataifa unaitajika haraka sana.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Asiye na akili atamponda trump lakini wenye akili watamuunga mkono. Mtu unakurupuka kukosoa trump wakati hata siku moja hujawahi kuumiza akili hata kwa dakika kumi kufikili namna ya kutatua mgogoro kati ya islaeli na parestina wenzenu wanagikili kila siku wamegundua pa kuanzia nyie mnawaponda...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Moto wa mapanga na risasi na vitisho toka ukabda fulani ndio sababu. Kwani hata tumeambiwa atakuja mtu mwenye chapa atakuambia unamkubali kristo au mimi ukisema kristo unakatwa upanga ila ukimkubali anakwacha huru. Sasa tazama mwenyewe hivi karibuni kunamwanasiasa kaambiwa usiporudi ccm...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Aende tu hata mbinguni kuna malaika walimkana mungu wakamfuata shetani sasa wanaingoja hukumu kama ccm wanavyongoja kuangushwa na cdm.
Back
Top Bottom