Sawa kabisa, huwezi kujibu ujinga kwa ujinga. ikiwa mtoto kukojolea kurani ni dhambi mbaya kwani nini kuchanachana Biblia, kuchoma makanisa, kuahribu mali za kanisa na hata kusababisha uporaji wa mali za kanisa iwe sawa. Mtoto akililia wembe mpe. Kamanda Kova pull up your socks maana umechelewa...