Recent content by Infropreneur

  1. Infropreneur

    Waafrika tuache kufikiria ujinga, sio kila aliyekufa ameuawa

    Umeelewa nilicho andika?
  2. Infropreneur

    Makanisa yanaanza kutekwa na wanasiasa kwasababu ya fedha

    Politics started religion in order to convince people that what belongs to them is saved and secured in Heaven. Kwa hiyo wajanja wanakula hela za wajinga kwa namna hii. When all people shall be wise in divine terms, Those false prophets and bogus religious preachers who feed on the ignorance...
  3. Infropreneur

    Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Ni kweli dini zote lazima ziwe controlled kwa sheria kali. Maana bila hivyo Kila mtu atataka dini yake iwe ndio katiba ya kuongoza nchi. Ukiangalia nchi zinazo ongozwa kwa sheria za kidini kama Iran, Afghanistan, Saudi Arabia n.k Raia wake wengi hawana uhuru na wanateseka sana. Cristiano...
  4. Infropreneur

    Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Mkuu, Ukianza kudai dini yako ya ukristo ina ukweli na mwislamu atakuja hapa kudai dini yake ina ukweli kuliko ya kwako. Na hapa ndipo vita na mauaji ya kidini huanzia. Kila mtu hudai dini yake ndio ya kweli. Sasa universal declaration of human rights walitambua hilo mapema kabisa, Kwa...
  5. Infropreneur

    Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Dini lazima ziwe controlled na sheria maana bila hivyo, Kila mtu atataka dini yake ndio iwe katiba ya kuongoza nchi nzima. Kama wafanyavyo Taliban kule Afghanistan, Mamia ya raia wanateseka kwa sababu ya falsafa uchwara za kidini. Eti mabinti wasisome na kwenda shule wabaki nyumbani wakisali...
  6. Infropreneur

    Waafrika tuache kufikiria ujinga, sio kila aliyekufa ameuawa

    In Africa there is no natural death... Yani hata mtoto mdogo akizaliwa kisha akafa utasikia hapa sio bure kuna mkono wa mtu...[emoji1]
  7. Infropreneur

    Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia... Labda kama unataka kutetea dini yako. Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati. Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na...
  8. Infropreneur

    Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    Ponda mali kufa kwajaa... Yafaa nini kufa ukiacha mimali....[emoji23][emoji23]
  9. Infropreneur

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Nakwambia hivi, swali langu halina makosa yoyote yale. Shetani ni nini? Ukishaweka neno "nani" tayari unajua kitu hicho ni kiumbe fulani na si kitu fulani.
  10. Infropreneur

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Wapi nimeandika uongo? Nilikwambia uthibitishe shetani ni kitu gani? Unaanza kuunda maswali yenye mrengo wa majibu unayotaka kuyasikia. Eleza na thibitisha shetani ni kitu gani? Na ulijuaje yupo? Sio kuanza kuleta stori uchwara za Quran zisizo na uthibitisho wowote ule sawa na hekaya za...
  11. Infropreneur

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Nakwambia hivi, Hakuna uhusiano wa dini na matendo mema.
  12. Infropreneur

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Kwani wewe mpaka mtu akwambie hana future na wewe ndio utambue? Huwezi kusoma red flags?
  13. Infropreneur

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Unaweza kuthibitisha hiyo jehanamu ipo au unaleta vitisho na hofu zako?
Back
Top Bottom