Recent content by Infinity Solutions

  1. Infinity Solutions

    Anatafutwa dereva wa pikipiki kwa ajili ya kazi ya mauzo

    Bila samahani, delivery na kutafuta wateja
  2. Infinity Solutions

    Anatafutwa dereva wa pikipiki kwa ajili ya kazi ya mauzo

    Habari za Leo, Anahitajika dereva wa pikipiki kwa ajili ya kufanya kazi za mauzo, delivery na kutanua wigo wa masoko mapya. Tunajihusisha na uuzaji wa Viungo (Organic Spices). Vigezo. 1. Awe na leseni ya kuendesha pikipiki, awe anajua kuendesha pikipiki kwa uzoefu na umakini. 2. Elimu kuanzia...
  3. Infinity Solutions

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara. Tunapatikana Mnazi...
  4. Infinity Solutions

    INAUZWA Jipatie samaki wabichi aina ya kumba/sato/tilapia/perege kutoka rufiji - tsh 10,000/- kwa kilo

    Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara. Tunapatikana Mnazi...
  5. Infinity Solutions

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Temeke stereo sokoni wanauza pia kwa jumla, kuanzia sh 180
  6. Infinity Solutions

    Ninahitaji Kahawa

    Shukran sana. ntafanya hivyo.
  7. Infinity Solutions

    Ninahitaji Kahawa

    salama. nataka kile kiroba cha kilo 60 kwanza.
  8. Infinity Solutions

    Ninahitaji Kahawa

    Habari za leo Ndugu wanajukwaa. Ninahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi. Ninaomba connection na muuzaji. 06247400
  9. Infinity Solutions

    Jipatie vifaranga vya Kuroiler vya mwezi kutoka kwangu

    🤔 HIVI KUROILER ni NINI? Huenda kutokana na ugeni wa neno hili bado kukawa na watu ambao hawajajua vizuri ni nini kinachomaanishwa na neno hili. Neno "KUROILER" ni jina lilolopewa kwa kuku walioboreshwa huko nchini India miaka ya 90 hivi.Kuku hawa walipata na wanaendelea kupata jina kubwa zaidi...
  10. Infinity Solutions

    Jipatie Kuku kwa Bei Poa, Majike na Majogoo,kuanzia Elfu 10 hadi 13 Tu

    All Must Go, Wabakie 50 Tuu! Karibuni sana.
  11. Infinity Solutions

    Jipatie Kuku kwa Bei Poa, Majike na Majogoo,kuanzia Elfu 10 hadi 13 Tu

    Habari za Leo! Nnawauza Kuku aina ya Sasso na Kroiler, wana Umri wa Miezi 4 na 5. Wapo Majogoo na Majike wanaoanza kutaga. Majogoo sh Elfu 11 kwa Mmoja na Majike ni Elfu 13. Ukichukua majogoo kuanzia wawili ni sh Elfu 10 kwa Mmoja na Majike kuanzia 3 ni Elfu 12. Wapo Tandika Magorofani...
  12. Infinity Solutions

    Jipatie Bidhaa za Kunyoosha Vidole Vilivyopinda na Vinundu kwenye dole Gumba la Mguu (Bunions)

    Je Unasumbuliwa na Matatizo ya Vinundu vya Miguu? Vidole Vilivyobanana au Kupinda? Una Maumivu ya Nyayo, Ankle au Miguu Iliyokosa Uvungu? Tunazo BIDHAA za KUKUTIBU. Jipatie Bidhaa zako sasa Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
  13. Infinity Solutions

    Jipatie Bidhaa za Kunyoosha Vidole Vilivyopinda na Vinundu kwenye dole Gumba la Mguu (Bunions)

    Bunions Zinatibika kwa Bidhaa Sahihi. Jipatie Bidhaa zako sasa Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
Back
Top Bottom