Recent content by Infinity Pharmacy

  1. Infinity Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

    Pole kwa changamoto unayopitia,wasiliana nasi 0769081492..Tutakupatia dawa kwaajili ya kuoshea sehemu yote iliyoathirika na ya kupaka pia baada kutumia utalisahau hilo tatizo,Karibu.
  2. Infinity Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mwanaume kuwahi kufika kileleni

    Tatizo La Kuwahi Kufika Kileleni Ni Nini? Kuwahi kufika kileleni au kuwahi kumaliza tendo la ndoa au kwa lugha ya mtaani kukojoa upesi ni hali ambayo inampata mwanamme ambapo hutoa shahawa kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo, bila yeye mwenyewe kukusudia . Kwa...
  3. Infinity Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vya kuzingatia unapofanya DAILY SKIN CARE ROUTINE yako

    Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia unapofanya DAILY SKIN CARE ROUTINE yako yaani ASUBUHI na JIONI. WAKATI WA ASUBUHI Wakati wa asubuhi ngozi zetu huathiriwa sana na environmental damages kama vile jua,vumbi na taka zingine zilizopo hewani.Hivyo basi tunashauriwa kulinda ngozi zetu asubuhi dhidi...
  4. Infinity Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya Toner, Serum na Moisturizer: Jinsi ya kutumia na namna zinavyofanya kazi

    TONER • Kazi kubwa ya Toner ni kubalance pH ya ngozi, kutoa uchafu wote uliobaki baada ya kuosha uso (kuosha uso pekee kwa maji na sabuni haimaanishi umetoa uchafu wote usoni), inazuia bacteria kwa kiasi fulani, inasaidia kufungua pores na kulainisha ngozi ya uso. AINA ZA TONER Tutazungumzia...
  5. Infinity Pharmacy

    JamiiForums Tanzania Ijue Eczema (Pumu ya Ngozi): Visababishi vyake, dalili zake na tiba yake kwa watoto

    Eczema (pumu ya ngozi): ni ugonjwa wa ngozi ,unaofanya ngozi kuwasha sana,ngozi kuvimba,kuweka vipele vingi vidogo vidogo venye rangi nyekundu. Ugonjwa huu huanzia utotoni mara nyingi pia hushambulia watoto na wazima, hushambulia sehemu mbali mbali za mwili na viungo vya mwili kama vile kwenye...
Back
Top Bottom