Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
Alichoandika muandishi uenda ikawa moja kwa moja sio / ndio sahihi, inategemea na mtazamo wako binafsi (perception) kama ukiamua kuacha kuutazama ukweli halisi uliopo...
Alichofanya muandishi ni kitu kinachoitwa Superforecasting, kitendo cha kutumia ujuzi wa jambo fulani (knowledge &...
...Soma polepole, tulia alafu tumia akili kutafakari kupata utambuzi kwa kile kilichoandikwa.
...haki anayo na ndio katiba ya chama chao inasema hivyo sio?? tatizo ni taratibu zao zilizopo na Kinyang'anyiro walichonacho maana wahenga wanasema a custom is like a law (Kawaida ni kama sheria)...na...
Sinunuliwi, Sijawahi kununuliwa na mtu yoyote wala sina chama chochote cha siasa wala sina upande wowote, hapa nilichofanya ni kufanya Calculations na kuona possible outcomes then kushauri pande zote mbili...Na hapo bado sijaongelea possible outcomes za kuitwa kwenye kamati za Udhibiti na...
Good to know...Ila Kikatiba 10 ndio inatosha au unasemaje?
Wakina sisi yoyote yule kwetu ni sawa ili mradi tu aiweke Tanzania (National interest) na Watanzania mbele na Taifa letu lizidi kusonga mbele...
Roma ya leo si ile Roma ya zamani, tawala ambayo ilikuwa na nguvu kubwa sana duniani yenye kuweza kutawala na kuendeleza Ustaarabu wa Kirumi kwa miaka na miaka hapa Ulimwenguni.
Sifa kubwa za Warumi walikuwa na Jeshi imara lenye nguvu kuweza kupigana vita na kupata ushindi kwenye falme na...
The last king
...ambae kutokana na chaguzi zilizokuwa zikiendelea uenda kulionekana kuna haja ya kupewa ulinzi kwa kipindi chote cha uchaguzi kutokana na sababu za Kiusalama.
Ukweli ni kwamba muandishi ameudanganya umma kwa Post yake...habari yake ni ya uhongo na uchochezi kwa maana ata yule...
tikatika hebu fikiria...
Wapinzani wangepewa Ulinzi kwa mgombea wao, je wangekubali? au wangekataa wakidhani kwamba hao walioletwa kuwalinda watatumika kutoa siri zao???
Ikumbukwe mgombea wa Urais wa Upinzani pia alikuwa na vijana wake wanamlinda, ukiwemo ulinzi aliopewa kutokana na ya kwamba...
Kwa yale ninayoyafahamu mimi, amini usiamini, upende au usipende Tanzania KAMWE haitowekewa vikwazo vyovyote vya kiuchumi...
Nina wahakikishia Watanzania wote ndani na nje, Tanzania KAMWE haiwezi kuwekewa vikwazo na nawaomba endeleeni kufanya kazi kuliendeleza Taifa la Tanzania na wale...
Kuwa nchi ndogo au kuwa nchi kubwa haikupi justification yoyote katika uporaji wa rasilimali za nchi nyingine...
Kama ukitoa justification yoyote ya uvamizi (either direct or through proxy) basi dunia KAMWE haiwezi kuwa na amani na ndio mwanzo wa kuwa na arms race na spread of weapons of mass...
...Je nchi nyingine wakiyafanya haya unayoyasema nchini kwako na wakiweka watu wao hapa kwetu itakuwaje?? Je itakuwa sawa kuwa na puppet? Je utaona ni sahihi??
Anyway Political espionage and foreign interference sio jambo jema kabisa, wakati huo huo sio jambo la kuzuilika maana kila taifa...
Kuijua Siasa SIO lazima uwe ndani ya chama cha siasa...
Kazi yangu siku zote ni kushauri na Msiposhaurika mapema mtabaki kama yule waliemtaja wana imani nae...Na huo ndio ubaya wa Waafrika wengi hawapendi kushaurika siku zote...
Kwanza kabisa napenda ku-declare interests:
1: Mimi sio Mwanachama wa Chama chochote cha Siasa wala sina upande wowote.
2: Interests zangu zipo kwa Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Watu wake tu.
--------------------------------------
Katika kipindi cha hivi karibuni kumetokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.