Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,757
- 18,594
Nawewe unashangilia hiyoKura yako haikupi rais wako, huu ndiyo ukweli.
Unafikiri jamaa wataamini kuwa Marekani kuna zengwe tena babukubwa?Braza! democracy haijawahi kuwepo duniani, hata Marekani mambo ni yale yale!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wazir anapewa ulinz na usalama kumbuka hao usalama wanaliipwa kutokana na kodi zetu kwa nn wamlinde mgombea wa ccm na wasiweke usawa kwa wagombea wote je mgombea wa TLP walimlinda punguzen porojo
tikatika hebu fikiria...
Wapinzani wangepewa Ulinzi kwa mgombea wao, je wangekubali? au wangekataa wakidhani kwamba hao walioletwa kuwalinda watatumika kutoa siri zao???
Ikumbukwe mgombea wa Urais wa Upinzani pia alikuwa na vijana wake wanamlinda, ukiwemo ulinzi aliopewa kutokana na ya kwamba alikuwa Waziri Mkuu mstaafu na mpaka leo hii bado wanamlinda, je hili umelizungumzia na kuwaambia wananchi kwenye Post yako??!
Mgombea huyo mwingine uliyemtaja kumbuka yeye alikuwa ni Waziri kabla Bunge kuvunjwa ambae kutokana na chaguzi zilizokuwa zikiendelea uenda kulionekana kuna haja ya kupewa ulinzi kwa kipindi chote cha uchaguzi kutokana na sababu za Kiusalama.
Hivyo basi unatakiwa utumie busara, hekima na akili kabla haujaandika kitu chochote, Usipende kuleta habari za uchochezi za kuweza kuichafua Idara tajwa yenye sifa za kipekee ndani ya Afrika na duniani kwa ujumla ambapo Idara hiyo inakuwezesha hapo ulipo mpaka leo hii uweze kuishi kwa amani na kula ugali wako kila siku tofauti na nchi nyingine ambazo hazina amani.
Ningewaomba wananchi wenzangu mpuuze hii habari na ningependa kushauri wahusika wa Jamii forums muweze kufuta hii Post yenye kuchafua sifa ya hii Idara tajwa kwa habari zisizokuwa na ukweli ndani yake zenye nia ya kuleta uchochezi...
Idara tajwa siku zote ipo kwa maslahi ya nchi na Wananchi wake pekee na SIO chama chochote kama muandishi alivyotaka kuuaminisha Umma.
watu wengi humu hawafikiri nje ya box, wanaamini yale wayaonayo kama ndio ukweli wenyewe ilihali ni michezo ya makundi yaliyo nyuma ya dola.Unafikiri jamaa wataamini kuwa Marekani kuna zengwe tena babukubwa?
Mfano uchaguzi wa Nov mwaka huu, Ugavana wa Georgia na Unaseneta wa Florida ilikuwa balaa. Trump mwenyewe anajua alifanya nini na Warusi wake kuwa pale.
Kwa hiyo Magu ndiyo kwenye mchujo ndiyo inaonekana anafaa kweli bongo bado sanatuko karne ya 16.mkuu haya mambo yapo hata marekani, wazee wa kazi wakishaamua yupi ndiyo anafaa, hakuna namna, democracy is an imagination of beholders,
Huwezi kuachia nchi itawaliwe na yeyote anayejisikia, lazima achujwe na athibitishwe hasa kulingana na mwelekeo wa chama kwa uzito wake na ushawishi.
Unaposikia fulani kakatwa ndiyo mipango yenyewe, raia wengi hughubikwa na ushabiki kiasi kwamba wakiachwa waamue peke yao, athari nyingi zitatokea, Usalama wanawajua wagombea vizuri kuliko tunavyowajua sisi raia watiifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu haya mambo yapo hata marekani, wazee wa kazi wakishaamua yupi ndiyo anafaa, hakuna namna, democracy is an imagination of beholders,
Huwezi kuachia nchi itawaliwe na yeyote anayejisikia, lazima achujwe na athibitishwe hasa kulingana na mwelekeo wa chama kwa uzito wake na ushawishi.
Unaposikia fulani kakatwa ndiyo mipango yenyewe, raia wengi hughubikwa na ushabiki kiasi kwamba wakiachwa waamue peke yao, athari nyingi zitatokea, Usalama wanawajua wagombea vizuri kuliko tunavyowajua sisi raia watiifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje wakamkata kachero/jaşusi mwenzao wakämuweka mruga ruga anaeabudu umasīkini na unyongè?mkuu haya mambo yapo hata marekani, wazee wa kazi wakishaamua yupi ndiyo anafaa, hakuna namna, democracy is an imagination of beholders,
Huwezi kuachia nchi itawaliwe na yeyote anayejisikia, lazima achujwe na athibitishwe hasa kulingana na mwelekeo wa chama kwa uzito wake na ushawishi.
Unaposikia fulani kakatwa ndiyo mipango yenyewe, raia wengi hughubikwa na ushabiki kiasi kwamba wakiachwa waamue peke yao, athari nyingi zitatokea, Usalama wanawajua wagombea vizuri kuliko tunavyowajua sisi raia watiifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha ujinga wwWewe uliopost hii utango'oka shauri yako. Usalama hawachezewi kabisa. Utawaachia majonzi familia yako bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa, tofauti ni kuwa wakati marekani wanaangalia nchi, huku wanaangalia chama. Wewe unapendelea nini, nchi au chama?mkuu haya mambo yapo hata marekani, wazee wa kazi wakishaamua yupi ndiyo anafaa, hakuna namna, democracy is an imagination of beholders,
Huwezi kuachia nchi itawaliwe na yeyote anayejisikia, lazima achujwe na athibitishwe hasa kulingana na mwelekeo wa chama kwa uzito wake na ushawishi.
Unaposikia fulani kakatwa ndiyo mipango yenyewe, raia wengi hughubikwa na ushabiki kiasi kwamba wakiachwa waamue peke yao, athari nyingi zitatokea, Usalama wanawajua wagombea vizuri kuliko tunavyowajua sisi raia watiifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nawawazia hao watu wawili uliowataja na madudu mengi yaliyitokea na kulinganisha na nguvu ya TISSKwahiyo ni usalama iliyoona pia mkapa na kikwete wanafaa kuwa maRais pamoja na ufisadi wote walioufanya pamoja na sekta zote kuoza hao TISS wakaiona bado CCM inafaa kuongezewa muhula !! Kama TISS ndio inawapitisha hawa mafisadi waliofeli kila kitu toka uhuru basi naweza sema tuna SYSTEM mbovu zaidi dunia nzima.
Nachojua TISS wakipanga Rais basi awe kama lipumba hivi au Lissu wangempika wakolee wamuingize CCM maybe then wamsaidie kuiba kura ashinde alafu apige kazi hapo ningesema kweli TISS imefanya la maana ila wanapohakikisha CCM ambayo imejaa ufisadi kupata urais huoni unaipunguzia credibility ya TISS kama chombo makini....
Hivi hawa usalama wa taifa bado ni usalama wa taifa?
watanzania tunapenda kudadisi vitu ambavyo viko nje ya uwezo wetu...... unadhani usalama wa taifa ni level ya vicoba au tycs? acheni masihara .... tunapoteza muda sana kuwajadili hao watu ambao wanatulinda