Recent content by Infimind

  1. I

    Tufundishane namna ya kupata mawazo bora ya kibunifu ili kudumisha biashara

    Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya, napenda leo nichangie ujuzi wangu kama mjuzi wa elimu ya ujasiriamali, Nimekuwa nikiona post mbali mbali za watu ambao wamekuwa wakiweka mawazo mbali mbali ya kibiashara na kuwaambia watu, "Jamani haya nimiongoni ya mawazo ukichagua moja wapo...
  2. I

    Malengo yangu ya kuweka Tsh 20,000 kila siku

    Acha kukalili kama mzee, uwelewa haupimwi kwa shule zenu za kata hizi, na elimu iliyojaa siasa, maalifa bora yanajengwa kwa kula chakula bora cha ubongo, nacho ni usomaji wa vitabu. Huyu dogo alishasema mda mwingi anasoma sana vitabu.
  3. I

    Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

    Mmmmhhhh watoto bwana kwa story za kitoto, aya kakojoe ukalale.
  4. I

    Waliooa wanawake darasa la 7 na kidato cha 4 wanafurahia ndoa zao kuliko waliooa wasomi

    Tatizo lako mfumo dume umekujaa ndugu yangu, yani apo hakuna lolote unaloliwaza wewe kuona watu walioa darasa la saba na form four wanaidi zaidi ya kuona kuwa wake zao wanakuwa hawana uwezo wa kutetea haki na mawazo yao mbele ya waume zao, sasa apo kama mwanaume unafaidi nini? Binafsi nilisema...
  5. I

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Dah ndugu Baija Bolobi yani comment yako imenifuraisha kweli, yani nimecheka kweli inaitaji akili kubwa kujua maneno mazito ya fungua na funfa semi yako.
  6. I

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    kupiga debeeeee, kwangu ilikuwa powa kwa radhi ya wazazi kijiji nikaoa, eehhi eehhi twende hospital tukamuone dakitari nilipagawaaaa nina virusiiiiiii na jua nitakufa najua nitakufa......dah RIP BONGO FLAVOUR
Back
Top Bottom