Recent content by Infantry Soldier

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Magufuli aliniahidi Kila aina ya Cheo nikakataa

    Shujaa ni Mkapa na Nyerere upande wa Marais wakristo..
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Watu wa kwenye system ndio huwa wanajibu hivi. Simple, clear, short with humility in it. Congrats..
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

    Kabla ya kujiuliza hayo yote boss wangu, anza kwanza kwa kujiuliza kuwa Yesu alikuwa ni muumini wa dhehebu gani?? Kwanini Yesu mmoja ila madhehebu japo zaidi ya 100?? Je, lipi ni dhehebu sahihi??
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Asante sana kwa kunisahihisha mkuu. Sisi ni vijana wa miaka ya karibuni hivyo mengi ya zamani hatuna ufahamu nayo..
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Kama unajali afya ya akili yako, ninakushauri usiende.
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

    Wapumb@vu wa namna hiyo nimekutana nao saana katika misele yangu ya kutafuta tonge..
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

    What if he is "Kilaza"?? Kwa hiyo mimi nisizungumze Russian nzuri mbele ya Delegation kutoka Ubalozi wa Russia hapa Tanzania kisa nitamu outshine my Master anayeyua Russian kwa kiwango cha chini?? Only a stupid master can put down his subordinates and refuse to learn from them..
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

    Ukabila katika kampuni binafsi ni tatizo kubwa sana kwa hapa Tanzania..
Back
Top Bottom