Ulishajipendekeza sana wewe na kujaribu kuonesha kuwa uko vizuri kuliko wao. Hilo usijisumbue, wenyewe wanakujua vizuri sana. Usithubutu kupima moto kwa kuugusa. Tisi siyo mguu pande mguu sawa, kushotooo geuaka!!. Tisi ni lidubwasha kubwa!
Ila tu, namtahadharisha Lugumi asijekuwa daraja la ujasusi wa Rwanda kwa Tanzania. Ajue kabisa, Mnyarwanda hajakubali kuliwa na Mtz mzee hivihivi. Kama siyo pesa ndiyo sababu basi ujasusi wa kibiashara/uchumi.
Kwa huo mkao ni itifaki imezingatiwa na siyo suala la Mkuchika kuwa wa siku nyingi Ikulu. Hapo ni mpangilio wa kiitifaki tu na siyo blah blah unayotaka kutuchafulia bongo zetu hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.