Recent content by Independent-Mind

  1. I

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Huo mfano wako sio sahihi,hii ndege ni ya biashara,serikali inawekeza pesa kufanya biashara ili ipate pesa zaidi za kukujengea barabara,kuboresha mishahara ya walimu,huduma za afya etc
  2. I

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Unazisikilizia vp ndugu yangu na watu tunaenda kukata tiketi tumekosa hadi January,msiongee msioyajua
  3. I

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Nimemwambia huyu mbumbumbu hajui kitu anajiropokea tu
  4. I

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Usiongee usiyoyajua,matangazo yanasikika,abiria wanajaa(labda kama hufuatilii kujua),muache rais aongeze ndege tutanue shirika,wewe ndio unayetaka tubaki pale tulipo ili uweze kusema OOh hata Rwanda wanatuzidi,zama zimebadilika
  5. I

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Serikali inanunua ndege ili ifanye biashara ipate pesa za kujenga barabara,kuboresha maslahi ya walimu ,kuboresha huduma za afya na kuweka mazingira rafiki kimaendeleo,kutafuta pesa na kuwa na uwezo wa kupanda ndege ni jukumu lako baada ya serikali kukujengea mazingira.
  6. I

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Huwezi fix system kwa mwezi mmoja,especially system iliyojengwa for 50 years,so kipindi hiki ambacho system mpya itakuwa inajengwa,wacha njia za muda mfupi zenge kuleta results zitumike.Theory ya hili ni sawa na theory ya uchumi tu,kukiwa na mdororo wa kiunchumi Solution ni kujenga msingi imara...
  7. I

    Kuna kila dalili za Prof. Lipumba kuwa Waziri wa Magufuli

    Mtazamo Wangu, 1.Ukiweka ushabiki wa kivyama pembeni Prof.Lipumba ni Hazina kwa taifa hili. 2.Kwa muda mfupi nimegundua JPM sio mwanasiasa hana Blah Blah na inaonekana ana nia ya dhati ya kutupeleka in a Promised Land,hivo akimteua Lipumba naamini kuna kitu amekiona anataka kishughulikiwe
  8. I

    Kuna kila dalili za Prof. Lipumba kuwa Waziri wa Magufuli

    Mkuu, 1.IN RED -Sio kweli kwamba mara nyingi amekuwa na maoni chanya juu ya CCM Mkuu usipotoshe umma,Lipumba has spent years criticising CCM -Hakukuwa na Ubaya kujiuzulu kwa kukataa kuwa pamoja na Lowasa koz aliamini ni Fisadi na ametumia muda mwingi kuwaaminisha watu hivo 2.Weka Taifa mbele...
  9. I

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Kabisa unamaanisha unachokiongea? Anyway 1.Ulikuwa unajua kuna makontena 300 yamepotea,najua hujui hadi PM alipotimba bandari 2.Najua ulishakariri makontena yaliyopotea bandari ni 300,yet again PM akarudi akagundua mengine 2000 yamepotea,ulilijua hili 3.Swali la msingi kwa nini upotevu huu...
  10. I

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Mkuu Pasco, Hakuna Maendeleo yanayokuja bila gharama,tujiandae: 1.Hayo unayoyasema yote Kikwete ameyafanya na matokeo yake tumefikia hapa tulipo,usiwe mwepesi kusahau 2.Ingekuwa Nchini China baada ya Ndugu Bade kutoa taarifa zisizo sahihi cha kufuata ilikuwa ni kumchukua na kwenda kutandika...
  11. I

    Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

    Rostam ni wa kufukuza nchi hii,hafai
  12. I

    Waandishi wa Habari mliokuwa Serena, Leo mmeumbuka na pesa za hongo zimewatokea puani

    Tatizo sio elimu waache kuchanganya kazi na mahaba
  13. I

    Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Mkuu Amka, Nafikiri umeona jinsi ambavyo tumeistukia CCM kwamba walikuwa wakituburuza miaka yooote hiyo kwa kuwa tu watu walikuwa wamelala hawajui chochote,sasa hivi watu wamesoma,wafuatiliaji wa mambo na Bbongo zinachemka haswa ona ccm inavyoumbuka hadi wanaamua kutumia mbinu chafu wazi wazi...
  14. I

    Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

    Mkuu umeshasahau kwamba kila anayehama Cchadema ni Mmsaliti? mkuki kwa nguruwe?
Back
Top Bottom