Recent content by incognitoTz

  1. incognitoTz

    Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  2. incognitoTz

    PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga tena na chama. Hafla hiyo, iliyofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe huko Mbeya, ilishuhudia...
  3. incognitoTz

    Mkutano wa Trump na Zelensky waisha na sintofahamu

    Februari 28, 2025, Donald Trump kupitia mtandao wa X, alimkashifu Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa kutoheshimu nchi ya Marekani wakati wa mkutano wake na raisi huyo katika ikulu ya Marekani. Trump alimkosoa Zelensky juu ya kutoheshimu nchi hiyo kwa kuidharau ndani ya ofisi ya "oval" na...
  4. incognitoTz

    Allegations of USAID Funding Boko Haram: A Closer Look

    In a recent development that has stirred international controversy, U.S. Congressman Scott Perry from Pennsylvania has made startling allegations suggesting that the United States Agency for International Development (USAID) has indirectly funded the terrorist group Boko Haram. This claim...
  5. incognitoTz

    KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

    Zirudi TAMISEMI ili serikali iendelee kuajiri watu wasio na sifa?
  6. incognitoTz

    Serbia Yatikiswa na Maandamano ya Kudai Uwajibikaji wa Serikali

    Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
  7. incognitoTz

    DRC Conflict Update: The Last 24 Hours and Historical Context

    The Democratic Republic of Congo (DRC) continues to grapple with a complex and escalating conflict, particularly in its eastern regions. Here's an analysis of the latest developments over the last 24 hours and the broader context of the conflict: Recent Developments: M23 Ultimatum in Goma: The...
  8. incognitoTz

    Uchambuzi: TRUMP na suala la Marekani kutumbua jinsia mbili, Wamefikaje huko?

    Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya Title IX, Inasema: "Hakuna mtu nchini Marekani, kwa misingi ya jinsia, atatengwa kwa kushiriki...
  9. incognitoTz

    Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

    Wanataka kuua watu sasa
  10. incognitoTz

    Kilichoanguka Kenya ni "Rocket Separation Ring" au Pete ya Kutenganisha Roketi

    Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini, kwa kawaida asilimia 95 ya chombo chote ni sehemu hizo. Kwa kuwa roketi hutumia mafuta kwa haraka...
  11. incognitoTz

    Elon Musk anataka majaribio ya Starship yafikie 25, mwaka 2025

    Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
  12. incognitoTz

    Watanzania hatuna mtetezi. Kampuni za simu zinafanya zitakavyo

    Sitaki kuamini kwamba, Kuna namna moja au nyingine ambayo huyu waziri wa sasa wa sekta hii ananufaika na hili au BIG GUNS wa mashirika hayo ni watu wake wa karibu na hana uwezo wa kuwafanya lolote. Biashara hii sasa inaendeshwa kama magenge ya dawa za kulevya. Biashara ambazo unakuta wasemaji...
Back
Top Bottom