Apa umechanga ni same operations ndo zinaendeshwa ivyo...kama zile zilizomaliza mdaa wake ilikuwa n ikupakuwa na kupakia mizigo.....hawa Dp wanakuja kufanya full operation za bandari ya daha
Biashara inachangamoto sana.....kuna kipindi nilikuwa na biashara maeneo ya chuo flani biashara ya chakura baada ya ile biashara kuwa inalipa sana nikaingia bank nikapatiwa mkopo wazo likaja nifungue sehemu nyingine mpya mbezi mwisho ile road ya kwenda malamba mawili....basi boashara ilikuwa...
Leo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi.
Nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake.
Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake. Kwanini wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Leo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi.
Nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake.
Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake....kwann wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Uwezi kufanya jambo kwa 100%...kama wangejua mapema sidhani kama ardhi yao ingekanyagwa..kama ni ivyo kuna makosa ya kiutendaji wa ilo eneo yalifanyika
Ni kweli wanauwana lakini bado nguvu kubwa urusi ajatumia...jeshi kamili na baadhi ya silaha zenye nguvu pia....urusi akisema atumie nguvu yote hii vita...naamini ndani ya wiki anamaliza Ukraine
Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara kiwepesi...mfano SINGIDA kijiji cha maluga...
Muda wa mavuno wa alizeti wanakuwa na uhitaji wa madumu ya...
Naiyona hii vita kuwa kubwa taratibu...baada ya jumatatu kutokea uvamizi mpakani mwa Russia na Ukraine katika jimbo la Belgorod sasa kuna vita mbili Russia anaanza kupambana nazo...vita ivyo ni Russia vs jeshi la Ukraine wakisaidiwa na washirika wa NATO na yapili ni Russia vs wanamgambo wanao...
Ndugu naona wengi wameshauli kuhusu biashara lakini kuna mambo kama mawili nataka nikufahamishe kwa biashara yoyote utakayo chagua kuanza.
1. Mfano ukawa na msingi wa 10m tafuta biashara ya kufanya utakayo anza na 5m.
2. Biashara ni tabia za watu wachache haswa za kuanza chini kama ujawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.