Recent content by Inch 9

  1. I

    Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

    Shida yako umetanguliza kubisha na kukosoa kwa hiyo huwezi kukubali chochote utakacho ambiwa na ushahidi wowote hutaukubali hivyo baki na unavyotakiwa kubaki makafiri hamna maswali mapya Wala kejeri mpya
  2. I

  3. I

    Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wewe ni bonge la .............malizia mwenyewe
  4. I

    Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

    Wavuta ngada dunia nzima ndo mavazi yao ya hovyo hovyo huyo jamaa nyimbo zake ni za hovyo hovyo nikiwa Rais wasanii aina yake wana kesi ya kujibu kwa kuua muziki wa Tanzania na mziki nzuri wenye ujumbe . Ni mtu mpumbavu na Taahira anaweza kumuona ni mtu wa maana huyo msanii wenu. Fally ipupa...
  5. I

    Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

    Nje ya mada. Hivi wavaa midabwada kama huyo pichani sio wezi? hivi huyo msela pichani hali malaya? kama huna pesa acha kuchukia wenye nazo kwa maana unazidi kujiweka mbali na pesa. jifunze au upuuze!
  6. I

    Dada zangu omba yasikukute haya

    Kama hutojari naomba unijibu hili swali Kwa nini miaka ya tisini huo unaoitwa Ukimwi umewamaliza watu wengi sana mpaka pale zilipogunduliwa hizi Arv kidogo ile kasi ya vifo vinavyotokana na Ukimwi vimepungua na hata ule ukondaji wa kubaki kilo mbili ni nadra? je enzi zile ule ulikuwa ni...
  7. I

    SAMMATA apewa mkono WA kwaheri

    Rijendiiiiiiiiiii Popa.
  8. I

    SAMMATA apewa mkono WA kwaheri

    Rijendiiiiiiiiiii.
  9. I

    Huwezi elewa hata kidogo kama hujaingizwa kwenye mfumo wa hawa jamaa

    Yakuze Mavuzi yawe kama ya mgonjwa au ya chizi?
  10. I

    Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

    Una kitu utafika mbali.
  11. I

    Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

    Kwa hiyo kila mwanamke hela ni mpaka haongwe ? Hawawezi kuwa na kipato nje ya kuhongwa? kwa hiyo hata muheshimiwa Samia hawezi kumpa zawadi kama gari mumewe? kuna wanawake wana kipato kizuri kudhidi wanaume wengi tu. shida inakuwa kuwapata ila ukishampata hicho nilichofanyia ni kidogo sana...
  12. I

    Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

    Wanawake wana wanawadharau Wanaume wa aina mbili. (1) Mwanaume mwenye kuhonga. (2)Mwanaume anayemuoa wakati yeye mwanamke sio bikira. Mimi nilipoanza kujitambua nilianza project ya kujithamini na kukuza muonekano wangu. Huwezi amini ndinga ya kwanza kuendesha nilinunuliwa na Binti alafu wakati...
  13. I

  14. I

    Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

    Huna tofauti na mtu ambaye anaitwa masikini jeuri.
  15. I

    Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

    Daah Rest in peace my Mother! Labda ungekuwepo ungenirepeat kunizaa nifanane na huyu wa mtoa mada hana hata baya? Anyway wapi wanatoa kozi kama hii nikasome kudadake!
Back
Top Bottom