Recent content by Ina wezekana

  1. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajivua uongozi: Ni utu, ujasiri au kujipanga upya?

    Drama na siasa za msimu. Yanayofanywa leo yalikua worse kipindi cha mwendazake akiwa ndani ya mfumo na hakufanya lolote zaidi ya kusujudu kila lililofanywa.
  2. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

    Daah. Angekufa yeye inatosha kueleza hisia zake, si kwa watoto wasio na hatia.
  3. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    [emoji1545] ndugu yangu.
  4. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Asante kwa kunitia moyo, mkuu. Jah bless
  5. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Kwa sababu hali yangu ni ngumu ningekataa mimba? Maisha yakiwa tight huruhusiwi kuwa na mtoto? Hii ni kanuni ya wapi.... Si future zote za watoto zinakua determined na hali za kipato cha wazazi wake. Na hii hali niliyonayo sasa haitakua permanent, bado kuna chance ya kupambana kubadilisha mambo...
  6. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Yes mkuu walibariki vzr kbs hawakuwa na kikwazo chochote.
  7. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Asante mkuu... Haya ni maisha halisi ya vijana wengi tulio mtaani kwa kukosa ajira. Tuendelee kupambana na kumuomba sana Mungu...
  8. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Mipango niliyonayo Kwa sasa 1. kuendelea kuomba kazi ya kuajiriwa kwa juhudi zote (mpango endelevu) 2. Kutafuta pikipiki na kufanya bolt 3. Kufungua kijiwe cha biashara ya kuuza utumbo wa ngombe.
  9. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Asante mkuu...
  10. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Matatizo kila mtu anayo. Cha muhimu ni kuwa humble. Haina maana kujibu vibaya kwa sababu ya matatizo yako.
  11. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Asante mkuu. Naendelea kupambana. Hakuna kukata tamaa
  12. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Asante mkuu
  13. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Amina. [emoji1545]
  14. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Wazo zuri sana hili mkuu. Tatizo mtaji, wa kupata mashine za aina hiyo
  15. Ina wezekana

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Vinanipa pesa ya kula na vinanisaidia. Changamoto ni kua havipo kila siku na mahitaji yapo pale pale...
Back
Top Bottom