Recent content by Ina Hu

  1. Ina Hu

    Msaada: Maumivu upande wa bega la kushoto, juu kidogo ya moyo

    hili jibu huwa ninalipata ninajaribu kuwa normal lakini ninajikuta hii hali haijatulia, sijajua hasa nifanye nini kupoteza hayo mawazo
  2. Ina Hu

    Msaada: Maumivu upande wa bega la kushoto, juu kidogo ya moyo

    FF. Doctors heshima kwenu, Mimi ninasumbuliwa na matatizo ya maumivu upande wa bega la kushoto, juu kidogo ya moyo. Nimekuwa nikisumbuliwa na hii shida kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu na hapa nishaenda muhimbili kupata vipimo ikaonekana upande wa moyo hakuna shida, vipimo ya damu yaani full...
  3. Ina Hu

    Muda sahihi wa kujua jinsia ya mtoto

    mi niliambiwa nani ya 6 weeks, na nikaambiwa na ni mapacha, tena mmoja wa kike na mwibgine wa kiume, ni kweli wamezaliwa hivyo, 100%
  4. Ina Hu

    Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Hukumu haijatoka, unataka Lulu afungwe, we mwenyewe huja practice hiyo justice, tulia wasomi wafanye kazi.
  5. Ina Hu

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Ashitakiwe kwa kesi ya uchochezi
  6. Ina Hu

    TANZIA: Mmiliki wa NAF Hotel Mtwara afariki dunia

    Mtoa huu Uzi analeta siasa, huyu jamaa ni kweli kafariki lakini, hakufia INDIA, amefia hosptali ya mkoa SOKOINE LINDI. Amepelekwa juzi usiku baada ya kujisikia vibaya na jana saa 12 asubuhi akaitikia wito wa muumba, RIP BRO SHEBBY!
  7. Ina Hu

    Dangote Cement price changes

    Mbaya: 32.5R = 12550 42.5R = 12950
  8. Ina Hu

    Dangote Cement price changes

    Mbaya: 32.5R = 12550 42.5R = 12950 Songea mjini makadirio ni 13000 kwa 13500
  9. Ina Hu

    Dangote Cement price changes

    Bei za Iringa zicheki hapo juu, huko hatuna depot bali tunafikisha mzigo hadi unapohitaji kwa hapo iringa mjini
  10. Ina Hu

    Dangote Cement price changes

    Brings: 32.5R = 12150 42.5R= 12550
  11. Ina Hu

    Dangote Cement price changes

    Yeah we ni kushusha tu
  12. Ina Hu

    Kwanini waumini wengi wa makanisa ya 'kilokole' ni wanawake?

    Females are cheap to be cheated
  13. Ina Hu

    Dangote Cement price changes

    DANGOTE CEMENT PRICE CHANGES: DSM: 32.5R= 10300 42.5R= 42.5R= 10800 KIBAHA , BAGAMOYO, THE SAME PRICE, MIKOANI TUWASILIANE KWA BEI MPYA, MININUM ORDER: 600BAGS/ORDER
  14. Ina Hu

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Uko sahihi mtoa mada, mi ni kama wewe huwa ninapatwa na mashaka hata na uwepo wa huyo mungu. Hivyo vitabu ni utaratibu tu ulianzishwa na watu wachache na vikawa developed time after time, ndiyo maana hivyo vitabu kama qu_ruan havikuakamilika mara moja. Hivyo ni kama katiba tu za nchi zetu kwa...
Back
Top Bottom