Recent content by in good faith

  1. I

    JamiiForums Tanzania michezo ni muhimu?

    mifumo ya kufikiri ya binadamu haifanani duniani kote. aghalabu kuna mambo ambayo hujitokeza katika jamii zote duniani. katika umri wangu bado sijawahi kusikia jamii isiyojihusisha na michezo ya aina yoyote duniani. inawezekana jamii hiyo ipo ila mimi ndio siijui. swali ninalopenda kuuliza ni...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ikulu ya Magogoni haitauzwa Serikali ikihamia Dodoma, itabaki kama makumbusho

    na mimi huwa najiuliza mbona kauli nyingi za mkuu zinaonekana ni za mtu mmoja halafu wenzie kazi yao ni kumuunga mkono? hivi hapo kuna serikali kweli?
  3. I

  4. I

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Mr.Mak uwe unafuatilia habari kwa makini kutoka vyanzo mbalimbali kabla hujachangia hoja. au umeamua kujitoa ufahamu kama wafanyavyo wengine?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa marudio Zanzibar February 29, 2016

    Hii inawezekana Tanzania tu. Mawakala wa chama kilichoshindwa uchaguzi (ccm) walisaini matokeo yote bila malalamiko lakini tume ndio inalalamika kwa niaba ya ccm na kudai kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. kwa upande wa bara chadema walipinga matokeo yasiendelee kutangazwa kwa kuwa yana...
Back
Top Bottom