Recent content by IN CHARGE

  1. I

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    Wewe ni Kihande kwelikweli,nakubaliana na mchagia mada aliyesema kuwa umewaingiza Wahaya kwenye mada yako ili ipate wachangiaji.Ushauri mfu kutoka kwenye jeneza lako(kichwa).
  2. I

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Mamluki mkubwa huyu,na eti baaba ya mwenzake RAGE kuboronga anataka kutuletea upuuzi wake kwenye uongozi wa timu.akafie mbali hana la kutusaidia huyu
  3. I

    Lwakatare kugombea tena ubunge bukoba mjini 2015?

    Kwani umeambiwa jela ndio makazi yake ya milele?kiwango chako cha kufikiri ni kidogo sana pole sana.
  4. I

    Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi

    Wajinga ndio waliwao!!........Hivi wewe ni Mtazania mzalendo kweli?? au na wewe ndo walewale mliojipenyeza nchini kwa mgongo wa kijangirijangiri??
  5. I

    Mwigulu Nchemba,Tupe kauli yako baada ya mahakama kumfutia Rwakatale kesi ya Ugaidi

    Sasa wewe umesahau alivyokuwa akipiga kelele bungeni kuhusu ushahidi wa wa ugaidi dhidi ya Lwakatare,au umesahau jinsi alivyojinasibu juu ya kutoa ushahidi hata wa Mbingfuni?? Huyu bwana mdogo amelewa madaraka anafikiri watawala anaojikomba kwao wataendelea kuongoza milele,akili ya mende...
  6. I

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Kati ya mambo ambayo nimeyagundua kwako wewe Mwigulu ni kuendesha Siasa ambazo kimsingi zinakiangamiz chama chako CCM bila wewe na washirika wako wa karibu katika chama chenu sijui kwa kutambua ama kwakutokutambua (ujinga)kwenu ndo mnakipa tiketi ya ANGUKO LA MWISHO mwaka 2015,mkijidanganya...
  7. I

    Rais Kikwete anastahili sifa

    Mh, Ndg yangu yaelekea wewe ni mgeni na unaonesha udumavu ki uelewa katik siasa za nchi hii,Hivi hujui yeye Kikwete pamoja na rundo la washauri wake hakuwahi kuiona nchi ilivyokuwa ikiteteleka mpaka tu pale "THE REGEND" Mh Zitto alipotaka sahini za wabunge zinazohitajika kikatiba ili kumg'oa...
  8. I

    Wabunge wa CHADEMA waliosiamishwa kwa kukosa adabu wazidi kujidhalilisha

    By Revocatus Kashaga wataalamu wa siasa wamesema hatua hii ni kama kujidhalilisha wenyewe, [/CENTER] source: kipeperushi 'UHURU na MZALENDO.Hivi vipeperushi bado vinachapishwa mpaka leo??
Back
Top Bottom