Recent content by Imran K

  1. Imran K

    Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    Unasahau kabla ya mfumo wa vyama vingi kila kiongozi serikalini au jeshini ilikuwa lazima awe mwanachama wa CCM na mfumo ulipoanzishwa wakatakiwa kutokuwa na chama. Pia kasema mwenyewe kuwa mara baada ya kustaafu 2011 alirejea kama mwanachama wa CCM. Na kuhusu katiba usiwe kama hujui yeye kama...
  2. Imran K

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Huyu akichukua nitajitolea kumpigia debe. Angalau ni kati ya wana CCM wasiokuwa na hata chembe ya kashfa na nitakuwa na uhakika wa nchi hatimaye kupata katiba inayokubalika.
  3. Imran K

    Mnyonge mnyongeni, Waziri Nyalandu Alikuwa Sawa na Sababu ya Tembo Kuongezeka Mbuga Zetu!!

    Siasa majitaka at its best. Nina uhakika kama Nyalandu angekuwa hajatangaza nia ya kuutaka urais haya yote yasingetokea. Kwenye ripoti ukiisoma imeeleza ni kweli kuna maeneo tembo wamepungua sana na kuna sehemu kuna ongezeko. Kote huko wameelezea sababu ambazo kiuhalisia zinaeleweka kwa mtu...
  4. Imran K

    Membe: Nikikatwa jina nitakuwa wa Mwandosya

    Anajuaje kama Mwandosya hatakatwa jina? Au matokeo yameshapangwa
  5. Imran K

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Nchi za wenzetu hii ishu ingeleta mjadala wa kitaifa lakini kwetu kwa sababu kila mtu kazoea kutumia njia za mkato tunachukulia poa. Mungu ibariki Tanzania.
  6. Imran K

    Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela amechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Bado sielewi kwa nini mtaalam kama huyu anataka kupoteza mazuri yake yote aliyowahi kuyafanya kwa kujiingiza kwenye siasa. Amuulize mama Tibaijuka yaliyomkuta.
  7. Imran K

    Lowassa na Nyalandu wakutana Zanzibar

    Unajaribu kumuelewesha mtu aliejitoa ufahamu
  8. Imran K

    Lowassa na Nyalandu wakutana Zanzibar

    Watangaza nia wa CCM Mheshimiwa Lazaro Nyalandu na Mheshimiwa Edward Lowassa wamekutana makao makuu ya CCM Zanzibar ambapo wote wameenda kutafuta wadhamini kama ilivyoagizwa na Chama Cha Mapinduzi. Wote wameenda na wake zao Mama Regina Lowassa na Faraja Nyalandu.
  9. Imran K

    Lowassa na Nyalandu wakutana Zanzibar

    Watangaza nia wa CCM Mheshimiwa Lazaro Nyalandu na Mheshimiwa Edward Lowassa wamekutana makao makuu ya CCM Zanzibar ambapo wote wameenda kutafuta wadhamini kama ilivyoagizwa na Chama Cha Mapinduzi. Wote wameenda na wake zao Mama Regina Lowassa na Faraja Nyalandu.
  10. Imran K

    Angalau Nyalandu hajatuletea hotuba ya kusadikika

    Kumpitisha hiyo ni habari nyingine kwa sasa tufanye kazi ya kuwapima kama kweli wana uwezo wa kuibadili Tanzania
  11. Imran K

    Angalau Nyalandu hajatuletea hotuba ya kusadikika

    Nyalandu anaweza asiwe mhutubiaji mzuri lakini kiutendaji tuseme ukweli kawashinda wengi waliotangaza nia. Tangu aichukue wizara ya maliasili na utalii kuna mabadiliko yanaonekana, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
  12. Imran K

    Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Sioni umuhimu wa kuandaa mdahalo wakati ndio kwanza watu wanaanza kuchukua form. Wangesubiri hadi idadi kamili imejulikana ndo wafane hiyo kitu wote wawekwe kwenye podium kwa pamoja. Tukifuata hiyo system aliyoisema Ali Mufuruki kuwa wiki ijayo waanze watano alafu wiki nyingine waongezeke kuna...
  13. Imran K

    Mahojiano (EXCLUSIVE INTERVIEW) ya JamiiForums na Khamis Kagasheki

    Kha Faiza hukosagi majibu kama marking scheme
  14. Imran K

    Full Text: Hotuba ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyalandu katika bunge la bajeti leo(2015/16)

    HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHESHIMIWA LAZARO SAMUEL NYALANDU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2015/2016 Dodoma Mei, 2015...
Back
Top Bottom