Recent content by immortanity

  1. immortanity

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

    Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa . Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
  2. immortanity

    JamiiForums Tanzania UDOM: Tutafanya ukaguzi wa hosteli za Chuo chetu kubaini Wanafunzi wanaobebana

    pia swala la vyoo hali ni mbaya sana kwa college ya Ualimu inasikitisha sana..
  3. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    ngoja nikamilishe safari ya elimu ya mkoloni mkuu
  4. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    safi sana mkuu
  5. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    we jamaa mkuda kweli😂😂ila nahis sahivi hawafanyi ivyo iyo generation haipo
  6. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    COED? muda gani huo mkuu ? 😃😃
  7. immortanity

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    UVCCM huyu apuuzwe😂
  8. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    nipe machimbo🤣🤣🤣
  9. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    nakaa kwa walimu mkuu vipi nawewe upo hapa ? mkuu😄
  10. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    😀😀😀nipo udom
  11. immortanity

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    hahah ujas wanatoa msosi mwingi mpka kero hasahasa mboga😅
  12. immortanity

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi UDOM tunalipia gharama ya hosteli lakini ukikamilisha usajili unaambiwa vyumba vimejaa, tunalazimika kubebana

    hii nahisi ipo college ya tiba pekee make ndio kuna lundo la wanafunzi
Back
Top Bottom